Na part ya hiyo overtaking game ni kuijua na kuitumia power uliyonayo. Kuna overtake unazifanya safely with 280HP ila ukiwa na 210HP inabidi usubirie nafasi nyingine.....pls don't overtake if IT'S not safely to do so, always bring your A game when overtaking, observations ni most important, indicating, na pia kama unaendesha manual car ,gear zako zipangilie vema,ndio maana night driving ni super
Stock au Tuned? Video ni sped up? Mbona moto nnaouona kwenye video ni mwingi ila zilizopo huku site zinaliwa nyama kizembe tu?4GR hio
Exactly mkuu ndio maana overtaking lazima ujiandae vema huwezi kukurupuka tu, ni vema uangalie gari unayotaka ku overtake, speed yake na mazingira yaliyopo, epuka mno blinds area's, huwezi ku overtake mlimani bila kujua ni gari gani inakuja in your opposite direction,!Na part ya hiyo overtaking game ni kuijua na kuitumia power uliyonayo. Kuna overtake unazifanya safely with 280HP ila ukiwa na 210HP inabidi usubirie nafasi nyingine.
Hio imekatwa kamba tayari so ni inapasuka vibaya sanaStock au Tuned? Video ni sped up? Mbona moto nnaouona kwenye video ni mwingi ila zilizopo huku site zinaliwa nyama kizembe tu?
Hio naitaga kubeti barabarani, overtake za betting ni dakika O tu tunaweza tukaongea mengine. Au ile style ya tailing nayo mbaya sana.Exactly mkuu ndio maana overtaking lazima ujiandae vema huwezi kukurupuka tu, ni vema uangalie gari unayotaka ku overtake, speed yake na mazingira yaliyopo, epuka mno blinds area's, huwezi ku overtake mlimani bila kujua ni gari gani inakuja in your opposite direction,!
Kama sijaona mbele kweupe sio overtake, sina zile tabia za ku assume speed ya anae kuja na elie mbele yangu. Ni bora upoteza dk au second kadhaa utafidia mbele ya safari hukoHio naitaga kubeti barabarani, overtake za betting ni dakika O tu tunaweza tukaongea mengine. Au ile style ya tailing nayo mbaya sana.
Ratco katoka, Raha Leo nae anafata wewe nawe bila akili unaunga kwa Raha leo. Lazma kiumane tu.
Hamna eneo unaifeel raha ya gari kama kwenye ku overtake yani. Hasa gari ikiwa na nguvu unamkata mtu kama masihara.Hio power kwenye kuovateki ni Raha sana.
Kweli kabisa mkuu, tailing ni tabia chafu mno, hata kwenye convoy za ITS,good following distance ni muhimu, chochote kikitokea gari ya mbele ni lazima uwe in a position to react positively, to stop to stop SIO KWENDA PEMBENI, 8+s following time ni safi na always macho yawe ndio kiongoziHio naitaga kubeti barabarani, overtake za betting ni dakika O tu tunaweza tukaongea mengine. Au ile style ya tailing nayo mbaya sana.
Ratco katoka, Raha Leo nae anafata wewe nawe bila akili unaunga kwa Raha leo. Lazma kiumane tu.
Hahahah hio mara nyingi huleta head on head collision. Wengi wamekufa kwa style hii.Kama sijaona mbele kweupe sio overtake, sina zile tabia za ku assume speed ya anae kuja na elie mbele yangu. Ni bora upoteza dk au second kadhaa utafidia mbele ya safari huko
Inaokoa maisha sana hii spirit, haraka ya dakika 5 inaweza ikakucost maisha.Kama sijaona mbele kweupe sio overtake, sina zile tabia za ku assume speed ya anae kuja na elie mbele yangu. Ni bora upoteza dk au second kadhaa utafidia mbele ya safari huko
Tupo wengi mkuu[emoji123]Mkuu wewe mwanachama mwenzangu wa night
trips bonge moja la experience. Lami imepoa engine inatembea on optimum perfomance.
Mkuu kwan 150 ni nyingi
Usiku mchawi taa tuTupo wengi mkuu[emoji123]
Si anavuta basi lake ata chakavuMkuu kwan 150 ni nyingi
A labda avute tata afanye daladala [emoji81][emoji81]Si anavuta basi lake ata chakavu
Si kdg maana naamini hakua nazo!Mkuu kwani 150 kidogo?
Nasubiri jibu la Therealmike25Si kdg maana naamini hakua nazo!