Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

....pls don't overtake if IT'S not safely to do so, always bring your A game when overtaking, observations ni most important, indicating, na pia kama unaendesha manual car ,gear zako zipangilie vema,ndio maana night driving ni super
Na part ya hiyo overtaking game ni kuijua na kuitumia power uliyonayo. Kuna overtake unazifanya safely with 280HP ila ukiwa na 210HP inabidi usubirie nafasi nyingine.
 
Exactly mkuu ndio maana overtaking lazima ujiandae vema huwezi kukurupuka tu, ni vema uangalie gari unayotaka ku overtake, speed yake na mazingira yaliyopo, epuka mno blinds area's, huwezi ku overtake mlimani bila kujua ni gari gani inakuja in your opposite direction,!
 
Hio naitaga kubeti barabarani, overtake za betting ni dakika O tu tunaweza tukaongea mengine. Au ile style ya tailing nayo mbaya sana.

Ratco katoka, Raha Leo nae anafata wewe nawe bila akili unaunga kwa Raha leo. Lazma kiumane tu.
 
Kama sijaona mbele kweupe sio overtake, sina zile tabia za ku assume speed ya anae kuja na elie mbele yangu. Ni bora upoteza dk au second kadhaa utafidia mbele ya safari huko
 
Kweli kabisa mkuu, tailing ni tabia chafu mno, hata kwenye convoy za ITS,good following distance ni muhimu, chochote kikitokea gari ya mbele ni lazima uwe in a position to react positively, to stop to stop SIO KWENDA PEMBENI, 8+s following time ni safi na always macho yawe ndio kiongozi
 
Kama sijaona mbele kweupe sio overtake, sina zile tabia za ku assume speed ya anae kuja na elie mbele yangu. Ni bora upoteza dk au second kadhaa utafidia mbele ya safari huko
Hahahah hio mara nyingi huleta head on head collision. Wengi wamekufa kwa style hii.

Nakumbuka kuna siku gari iliwahi kutema gear nikiwa nataka kufanya huo mchezo gear zili slip ikashusha mwendo kidogo ilibidi niwe mdogo maana kuna semi ilikuwa inakuja my way. Mwendo haukuwa mkali sana maana nilikuwa napanda kilima. Wa kushoto kwangu aliitoa gari nje kidogo akaslow akaniachia nafasi. Hio biashara niliacha tangu siku hio.
 
Waubani Linyama

"Ndugu abiria" ameshatoboa sasa
Screenshot_20220810-163549.jpg
 
Back
Top Bottom