Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hamna eneo unaifeel raha ya gari kama kwenye ku overtake yani. Hasa gari ikiwa na nguvu unamkata mtu kama masihara.

Kwa sisi wenye vifua vya wastani ni kubonyeza kadude ka O/D off kidogo ukija kukawasha unahesabu sekunde tu uko mbele.
Yeeeee mkuu hii ni DRS!kwenye F1 cars, unaambiwa kuwa Max wa red bull team anamfukuza Lews wa Mercedes team na max ana DRS, weee ni safi sana,hope's mashindano haya yatarudi Africa next year
 
Hii ni hatari sana bro.

Yani unafuata maamuzi ya wengine?
 
Yeah diesel utainyoosha ila pia ina moto kuliko ile ya LC2OO VX-R ambayo Horses ni 278 tu ila mziki mnene.
Kwa barabara za Tz, ukiwa na almost the same horses, gari ya diesel inakuacha mbali sana.

Ile torque ndo silaha kubwa mno.

Kuna wakati nilikuwa na petrol na jamaa ana diesel, alinipa challenge kubwa sana.
 
Kwa barabara za Tz, ukiwa na almost the same horses, gari ya diesel inakuacha mbali sana.

Ile torque ndo silaha kubwa mno.

Kuna wakati nilikuwa na petrol na jamaa ana diesel, alinipa challenge kubwa sana.
Hahahah diesel ya 310HP ni mziki huwezi fananisha na petrol sababu torque ziko juu. Take of yake inaweza kuwa ya kawaida tu ila ikichanganya mwendo rahisi kumkalisha petrol.
 
Watu wana ujasiri si mchezo.

Unaendesha above 200kph usiku?
 
Hahahah diesel ya 310HP ni mziki huwezi fananisha na petrol sababu torque ziko juu. Take of yake inaweza kuwa ya kawaida tu ila ikichanganya mwendo rahisi kumkalisha petrol.
Raha ya petrol uwe na stretch kubwa na sehemu tambarare.

Ila diesel unapandisha mlima una 350hp kifuani, kama unashuka vile. Wakati petrol ni kama inaanza kuchoka.

I think my next car itakuwa BMW X5 50d yenye 380hp.
 
Siku hizi hata zile hakuna kulala zinanyata sio kama zamani kutoka Mbeya, moro ilikuwa lazima ufika kabla ya saa sita za usiku vinginevyo mnazuiwa hadi alfajiri sasa hapo ndo palikuwa patamu.Sasa hivi kuna mishale kama Rosa 4m50,coaster 1hd-fte,no4c(vk) sijui ingekuwaje,angalau IT wanawakilisha vizuri kimchomoko[emoji23]
 
Hii LC300 VX-R inapata ushindani mzuri tu kwa Majesta V(S200), inacheua 347HP, na 460Nm, hasa kama dereva anajua mahala pa bampa to bampa sema hizi Majesta ni chache, wengi wana Crown Athlete ambazo kwa L300 zinakaa mapema tu
Hivi hizi range rover mfano ile ya MO DEWJI vipi LC 300 inaweza fuata maana ni 500hp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…