Yeeeee mkuu hii ni DRS!kwenye F1 cars, unaambiwa kuwa Max wa red bull team anamfukuza Lews wa Mercedes team na max ana DRS, weee ni safi sana,hope's mashindano haya yatarudi Africa next yearHamna eneo unaifeel raha ya gari kama kwenye ku overtake yani. Hasa gari ikiwa na nguvu unamkata mtu kama masihara.
Kwa sisi wenye vifua vya wastani ni kubonyeza kadude ka O/D off kidogo ukija kukawasha unahesabu sekunde tu uko mbele.