Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Zimefika kumbe
Screenshot_20220822-152945_WhatsApp.jpg
 
Tabora to Dar naanza safari ,kufika Kwenye saa 10 hadi 11 jioni
Unafanya nini njiani mkuu au kuna sehemu unapitia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kutoka Tabora kuitafuta Chaya,chuma iikamate Tura-Mabeshi,ije ikate pale mpakani uanze kuitafuta Gang 48 (KAZI KAZI) hadi Itigi ni 240 Km tu mkuu halafu mkeka upo skwea kinoma,masaa mawili na nusu tu hapo unapafyatua mkuu kama unawamudu wazee wa sare nyeupe,ukifika Itigi kula kuku kidogo pale kwa Sambiga,opposite na St.Gasper Refferal Hospital,saa moja net nyoosha mguu mwamba futa izo km 36 chuma itokee Manyoni town then kula izo 127 ibuka dom,hizo 440+km za kuichapa Dsm mbona saa 9 nightmare uko jiji mzee???
 
Safari ya msela kibaharia (mbeya - dom)View attachment 2331132

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwagika mwamba,toka Mafiati pale hadi Ipogoro unakula 329 tu km then chuma iinuke na ukali wake toka Ipogoro iitafute Kihesa,Nyang'olo,ishushe kama ya wizi mwamba ibuka Izazi,chapachapa Mtera zile zote tafuta East Zoo ni km 269 tu toka Down Ipogoro pale
 
Kwanzia igawa kurudi chimala adi apa karibu na mlima nyoka barabara ni ndogo mno na ina mashimo shimo mixer viraka usiku kama una macho ya sungura unaingiza gari porini sio pakukimbia kabisa kwanzia hapo ila kwanzia igawa pale hadi uko mbele ni [emoji91]
Kaza macho tembea ,hapo tunamwagikaga tu iT tunachafuka na zote mkuu
 
Nafikiri umeona jinsi ilivyo kazi kupata 100kph average.
Hili najua, huwa naona comments humu watu nadhani ame approximate tu muda, wana round down to the nearest hour. Mambo kwa ground ni tofauti.

Mfano mtu aliyetoka Moshi 1942 akafika Mwenge 0118 anaweza kuapproximate ametoka saa 2 akafika saa 7 hivyo kusema ametumia masaa matano.

Ila akisema awe exact ametumia 5hr 36min ambayo ni tofauti ya kutosha.
 
Mwagika mwamba,toka Mafiati pale hadi Ipogoro unakula 329 tu km then chuma iinuke na ukali wake toka Ipogoro iitafute Kihesa,Nyang'olo,ishushe kama ya wizi mwamba ibuka Izazi,chapachapa Mtera zile zote tafuta East Zoo ni km 269 tu toka Down Ipogoro pale
Mpunguzi now nakula mbuzi nimeichapa fimbo za uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanzia igawa kurudi chimala adi apa karibu na mlima nyoka barabara ni ndogo mno na ina mashimo shimo mixer viraka usiku kama una macho ya sungura unaingiza gari porini sio pakukimbia kabisa kwanzia hapo ila kwanzia igawa pale hadi uko mbele ni [emoji91]
Yes ndio maana kwa sisi wapenzi wa road convoy za usiku una make sure taa zako zipo byee, wiper n wind screen ziwe in good shape, na ikibidi vaa night driving goggles...always KEEP A GOOD FOLLOWING DISTANCE, pointer aki brake ghafula kusimama LAZIMA nawe uwe in a position to stop sio kumgonga au kuingia porini
 
Back
Top Bottom