Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ni kweli ligi huwa zinaanzia msamvu hapo ila Wale jamaa iT kiboko sema kama una chombo cha kueleweka barabara unaijua vizuri wao ndo wanasanda.
IT majuzi niliwaburuza , ilifika point hawakuniona tenaaa na mie sikuwaona tena 😀😀 mwanzo walinipita kama upepo huku wananipigia piiipiii.. nikasema moyoni haya twendeni kazi..
 
Kaka kama unanunua hilux latest 2020-Present utaikuta ina 2.8L 1GD-FTV which makes 201HP. Hii engine ni successor wa 3.0L 1KD-FTV.
Hivyo output iko juu zaidi kwa latest hilux models.
Na inagia 6 hii nimeweka ni 2GD
 

Attachments

  • car_image (18).jpeg
    43.9 KB · Views: 20
  • car_image (34).jpeg
    43.1 KB · Views: 23
  • car_image (6).jpeg
    33.2 KB · Views: 22
  • car_image.jpeg
    36.5 KB · Views: 18
  • car_image (17).jpeg
    33.5 KB · Views: 18
  • car_image (14).jpeg
    37 KB · Views: 19
  • car_image (6).jpeg
    33.2 KB · Views: 20
  • car_image (33).jpeg
    48.1 KB · Views: 16
Zile ngoma zinatembea mkuu... kuna jamaa namjua alitoka Mwanza saa 6 mchana, akafika Dodoma saa 12 jioni, walikuwa wanawahi site kabla ya jua kuzama! Zile mashine ni noma sana.... ingawa hazifiki kwa Amarok 🤣 🤣 🤣 🤣
Mimi natumiaga masaa sita kutoka Sirari mpaka singida.
Natoka saa sita usiku kumi na mbili asubui nipo singida.
 
Yes mkuu maana kwao ,unavyofanya trips nyingi na salama ndio unatengeneza pesa nyingi zaidi, ndio maana ni muhimu kuwa border by 5am ili ukabidhi gari na kugeuza na Sauli
Kuna siku nilipanda IT , jamaa nahisi alikuwa kachoka, tulikuwa wawili tu akaniambia mwana unajua kuendesha gari , nikamuambi kimtindo.. akaniachia chuma 😀😀😀 niliwasha moto jamaa hakuamini, akasema ikitokea mchongo nitakuunganisha uje u push hizi IT.. nachopendea gari zinazopita hapa nyingi zipo na hali nzuri sana tofauti na tunazobaki nazo
 
Welldone mkuu na hope's ulichukua contact details zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…