Wazee wa β€˜Road Trip’ mpo?

Inapiga mluzi ipo pale pale tuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kuna siku nilishwai kuchapa ligi na hiyo gari ndio nika ziondolewa nyota πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nilikuwa nazikubali sana, ila siku hiyo nikaona hamna kitu hapa
Swiiiiiiiiii.....swiiiiiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ilisikika prado moja kdj150
 
Mkuu jamaa katembea vizuri tu, hiyo road ni mbovu sana siku hizi
 
Hapo ndiko prado au vx anakuchapa bila huruma
Yeah nishachezewa vibaya na LC200 V8 mkeka wa Iringa - Kitonga, kila nikimkata anakuja kuniosha kwenye tuta, namfukuza tena namkuta anapiga timing ya kuovateki lori, namkata tena ila nikishakutana na tuta tu naanza kucheka maana mhuni anapita kama tambarare haweki mguu kati kabisa. Zile suspension zisikie tu ukiziona in action zitakuimpress. Sipati picha ile feeling mule ndani, must be kama ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…