Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Inapiga mluzi ipo pale pale tuu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ kuna siku nilishwai kuchapa ligi na hiyo gari ndio nika ziondolewa nyota ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ nilikuwa nazikubali sana, ila siku hiyo nikaona hamna kitu hapa
Swiiiiiiiiii.....swiiiiiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ilisikika prado moja kdj150
 
He he una hakika ulikuwa unatembea haswa? Maana kwa utembeaji wa kilometre 45O ulitakiwa uzifute kwa masaa 4 tu yani Msata ilitakiwa saa 193O uwe ushafika hapo kama kweli ulipasuka mwanzo mwisho.

4GR mashine kubwa mzee baba umefelije, Dar-Moshi haina malori sana [emoji23]
Mkuu jamaa katembea vizuri tu, hiyo road ni mbovu sana siku hizi
 
Hapo ndiko prado au vx anakuchapa bila huruma
Yeah nishachezewa vibaya na LC200 V8 mkeka wa Iringa - Kitonga, kila nikimkata anakuja kuniosha kwenye tuta, namfukuza tena namkuta anapiga timing ya kuovateki lori, namkata tena ila nikishakutana na tuta tu naanza kucheka maana mhuni anapita kama tambarare haweki mguu kati kabisa. Zile suspension zisikie tu ukiziona in action zitakuimpress. Sipati picha ile feeling mule ndani, must be kama ndege.
 
Back
Top Bottom