Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mkuu hii ina tofauti gani ya ulaji wese na kina 4gr?
 
Pacemaker 😅. Kuna mmoja nilimkuta na Cruiser old model nafikiri alikuwa anaenda kama 120kph nikaona nitembee nae mara naona kaongeza 130 mara 140 sasa gari lenyewe halina pulling nikaona mjinga huyu nikapita nikapotea zangu.
 
Mkuu hii ina tofauti gani ya ulaji wese na kina 4gr?
Nissan ziko more targeted toward performance kuliko efficiency ukilinganisha na toyota counterparts.

Mfano Fuga 250 na Crown 4GR, Fuga imeizidi HP na torque, wakati Crown ana 6 gears. Consumption ya 4GR ni nzuri kuliko VQ25 both mjini na highway.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…