Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Watu KAZI WA night to night Niko Ruaha hapa kilombero sasa kuitafuta DSM via kilombero-mikumi then one way to joto city.View attachment 2367092
New bridge at ruaha kilombero
20220924_115704.jpg
 
Ajabu mkuu Yani kipande Chenye lami mikumi_ruaha the Ruaha-mang'ula vumbi kuna seem nimeisahau ulifika ndo kuna lami ukivuka apo adi ifakara kibaoni pale round about vumbi
Ifakara inaleta mchele Dar kila siku leo hakuna lami? Naona kama sio kipaumbele cha serikali.

Huko kulitakiwa kupewe lami miaka 30 iliopita. Chakula kinatoka humo.
 
Una muda mrefu ujapita hii njia. Japo bado sehumu kubwa kuna vumbi. Ruaha Mang'ula mpaka kiberege almost 70% ni lami. Ukitoa kilami uchwara cha Sululu mpaka Signal. Ujenzi unaendelea toka Signal kuunga Ifakara
Mkuu nimepita juzi apa sema itakuwa nimekosea kutaja majina ya maeneo Kuna kipande kirefu nimeona Kina lami ma seem nyingine wanakamilisha
 
Pole ila sasa hivi sehemu kubwa unatembea kwenye lami, mara ya mwisho kupita route hiyo lini?
Kipande kikubwa lami ipo ila naelezea kama unaendelea mbingu Hadi mlimba huko ndo shughuli unayo maaqna lami inaishia ifakara pale kwenye kidaraja Kuna kipande sassiv ndo naona wanakamilisha lami then kingine wanamalizia ishu ni kwmba madaraja,makaravati ndo yamemechelewesha road from ruaha TU ifakara kukamilika
 
New bridge at ruaha kilomberoView attachment 2369587
Walishasimika nguzo ila nashangaaa tangu January hawaendelei sijui kwnanin eti niliskia tetesi kuwa hili daraja kisa haliendelei ni kuwa Kuna Mzee aliweka vitu vyake hapo akawaambia wachina wachinje sijui ng'ombe ngapi ili maji ya kauke waendelee kwaiyo wachina wakagoma ndo kisa adi Leo maji hayakauki eti kweli mkuu?
 
Back
Top Bottom