All the Best MkuuArusha-Singida-Shinyanga-Fiesta-Tarime-Sirari
Niombeeni
Kila lililojema huko Barabarani.Arusha-Singida-Shinyanga-Fiesta-Tarime-Sirari
Niombeeni
Mpambano haukuwa fair!! Kwanini pick up ipambanishwe na SUV?Nissan hapa ameidhalilisha toyota vibayq mno
Asante chief nimefika salama fiestaniKila lililojema huko Barabarani.
#speed doesn't pay but it wins# keep it safe drive well.
Patrol vs Patrol ... huyo wa mbele sijui anatembea na speed ngapi...Nissan hapa ameidhalilisha toyota vibayq mno
Du hii ni drag racing ndani ya public roads!ambayo ni NO NO NO, kujaribu ku ovatake kwenye barrier, yellow line!Patrol vs Patrol ... huyo wa mbele sijui anatembea na speed ngapi... View attachment 2374575
Hataree sana.... nina katrip kadogo muda huu Songea to mbeya.....Du hii ni drag racing ndani ya public roads!ambayo ni NO NO NO, kujaribu ku ovatake kwenye barrier, yellow line!
Safiri salama mkuu,Lukumburu pass, Igawa hadi mbeya ni sehemu si salama sanaHataree sana.... nina katrip kadogo muda huu Songea to mbeya.....
Hakika mkuu, hata njombe-makambako napo ni pa uongo sana japo pana uafadhali kidogoSafiri salama mkuu,Lukumburu pass, Igawa hadi mbeya ni sehemu si salama sana
Dash zinafanana. Fire kabisa hiyo kitu hapo [emoji1373] Wacha chuma zipewe miendooo1nz Rs manual .
1nz Rs manual .
Sina uhakika Ila Ile ya 1kr haina rpm paleDash zinafanana. Fire kabisa hiyo kitu hapo [emoji1373] Wacha chuma zipewe miendooo
Mkuu yako ni old au new?Rs Team [emoji119]
Pole mkuu safari ni hatuaJana nilitoka Arusha kwenda mji mkuu. Safari ilianzia stand kubwa ya chuga. Nilipata wadau WA kupunguza makali yamafuta maana kule ni 3090 petrol.
Safari ilikua nzuri mpaka babati baada ya hapo nilitamani gari ipae iangukie dom. Kama abiria niliobeba watakuwemo humu basi wani samehe bure.
Nyuma walikaa mkaka na mdada wakaelewana Sana maana kumbe wanafanya KAZI Kwa muajiri mmoja. Nilie kaa nae mbele ni born town WA chuga mixer dalali mixer dereva nk nk. Sasa bwana baada ya kusimama babati kupata msosi ndo hapo Hali ya kwenye gari ili badilika.
Abiria alie kaa mbele alisisitiza toka Arusha kwamba AC sio nzuri kiafya pia inaongeza ulaji WA mafuta hivyo izimwe ashushe kioo. Nadhani alijua Hali ya tumbo lake lakini baada ya km kadhaa niliomba nipandishe vioo niwashe Ac maana gari inazuiwa na upepo. Ikawa hivyo mpaka babati
Hapa sasa baada ya Kula tukaendelea na Safari yetu. Ilinibidi Tu nishushe kioo Changu nilishindwa kuvumilia Ile harafu lakini wanyuma wakawa wanalalamika baridi baadae nawao.wakaipata Ile harafu jamaa alikua ana jamba saaaaana non stop alafu hasemi chochote kashikilia handle za juu ya mlango as if gari inapita kwenye mashimo Kwa mwendo WA Kasi.
Tulipo fika kondoa mm nikajifanya Kama nataka niongee na simu so nikasimama ili kutoa nafasi ya yeye kukimbia Chooni lakini wala hakujigusa. Tukaendelea na Safari kabla ya kutika kondoa kuna jamaa walinipita walikua wanakimbizana ilikua ni tako la nyani na Xtrail. Baada ya kuondoka hapo kondoa mbele nilikuta Ile tako la nyani ime pasua Mpira WA mbele kulia Yule alie Kua anakimbizana nae kamuacha.
Hapa nadhani ndio ilikua chance ya huyu jamaa anae Jambo hovyo kuweka Sawa tumbo lake baada ya kusimama Tu yeye ndio alikua wakwanza kushuka na Sisi kidogo Hali ikapoa kwenye gari. Tuka msaidia jamaa kubadili Mpira ule alikua Hana wheel spanner na Yuko pekeake kwenye gari alafu inaonyesha ni mgeni kabisaaaaaaa WA magari maana hata hand brake hajui iko wapi.
Nilitoka saa tisa kasoro kumi nimefika saa mbili usiku. Mpaka sasa Dar to Dodoma kupitia Arusha sina cheti wala sijatoa ya kufutia kiatu. Mungu nimwema tumefika salama.
Welldone mkuu kwa mrejesho safi, na ashukuliwe Mwenyezi Mungu kwa kukullinda salamaJana nilitoka Arusha kwenda mji mkuu. Safari ilianzia stand kubwa ya chuga. Nilipata wadau WA kupunguza makali yamafuta maana kule ni 3090 petrol.
Safari ilikua nzuri mpaka babati baada ya hapo nilitamani gari ipae iangukie dom. Kama abiria niliobeba watakuwemo humu basi wani samehe bure.
Nyuma walikaa mkaka na mdada wakaelewana Sana maana kumbe wanafanya KAZI Kwa muajiri mmoja. Nilie kaa nae mbele ni born town WA chuga mixer dalali mixer dereva nk nk. Sasa bwana baada ya kusimama babati kupata msosi ndo hapo Hali ya kwenye gari ili badilika.
Abiria alie kaa mbele alisisitiza toka Arusha kwamba AC sio nzuri kiafya pia inaongeza ulaji WA mafuta hivyo izimwe ashushe kioo. Nadhani alijua Hali ya tumbo lake lakini baada ya km kadhaa niliomba nipandishe vioo niwashe Ac maana gari inazuiwa na upepo. Ikawa hivyo mpaka babati
Hapa sasa baada ya Kula tukaendelea na Safari yetu. Ilinibidi Tu nishushe kioo Changu nilishindwa kuvumilia Ile harafu lakini wanyuma wakawa wanalalamika baridi baadae nawao.wakaipata Ile harafu jamaa alikua ana jamba saaaaana non stop alafu hasemi chochote kashikilia handle za juu ya mlango as if gari inapita kwenye mashimo Kwa mwendo WA Kasi.
Tulipo fika kondoa mm nikajifanya Kama nataka niongee na simu so nikasimama ili kutoa nafasi ya yeye kukimbia Chooni lakini wala hakujigusa. Tukaendelea na Safari kabla ya kutika kondoa kuna jamaa walinipita walikua wanakimbizana ilikua ni tako la nyani na Xtrail. Baada ya kuondoka hapo kondoa mbele nilikuta Ile tako la nyani ime pasua Mpira WA mbele kulia Yule alie Kua anakimbizana nae kamuacha.
Hapa nadhani ndio ilikua chance ya huyu jamaa anae Jambo hovyo kuweka Sawa tumbo lake baada ya kusimama Tu yeye ndio alikua wakwanza kushuka na Sisi kidogo Hali ikapoa kwenye gari. Tuka msaidia jamaa kubadili Mpira ule alikua Hana wheel spanner na Yuko pekeake kwenye gari alafu inaonyesha ni mgeni kabisaaaaaaa WA magari maana hata hand brake hajui iko wapi.
Nilitoka saa tisa kasoro kumi nimefika saa mbili usiku. Mpaka sasa Dar to Dodoma kupitia Arusha sina cheti wala sijatoa ya kufutia kiatu. Mungu nimwema tumefika salama.
Mkuu yako ni old au new?
Jana nilitoka Arusha kwenda mji mkuu. Safari ilianzia stand kubwa ya chuga. Nilipata wadau WA kupunguza makali yamafuta maana kule ni 3090 petrol.