Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hii ni Kilimanjaro, Moshi vijijini,.Mashamba ya Miwa TPC ukiwa unatoka fonga gate!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119],[emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618] for you ..
 
Muhuni alikuwa anaviachia vya kimya kimya 😂😂😂 AC haifui dafu
 
Dah.....wiki hii nataka nijaribu Dar - Moro - Dom kwa baisikeli. Lakini dhamira yangu ni kufika Durban kwa baisikeli......
Miaka ya nyuma tulijaribu mimi na rafiki yangu kwenda bagamoyo na mountain bike,tulifanikiwa kwenda na kurudi ila hatukutegemea kwa ule msoto,wakati tunarudi tulipata taabu sana kwa kukinzana na upepo.Kutoka Dar(kijichi) hadi bagamoyo ni approximately km 78 hivi.Ila ile barabara ina nyoka sana,tuliwaona barabarani watatu wamegongwa na magari.It was just a tour, we were ready for any challenges ahead of us.
 
Nimecheka
Mtu anajamba vipi hovyo kwenye gari ya watu?
Nyie watu majasiri asee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…