Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hii ni Kilimanjaro, Moshi vijijini,.Mashamba ya Miwa TPC ukiwa unatoka fonga gate!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119],[emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618][emoji618] for you ..
 
Jana nilitoka Arusha kwenda mji mkuu. Safari ilianzia stand kubwa ya chuga. Nilipata wadau WA kupunguza makali yamafuta maana kule ni 3090 petrol.
Safari ilikua nzuri mpaka babati baada ya hapo nilitamani gari ipae iangukie dom. Kama abiria niliobeba watakuwemo humu basi wani samehe bure.

Nyuma walikaa mkaka na mdada wakaelewana Sana maana kumbe wanafanya KAZI Kwa muajiri mmoja. Nilie kaa nae mbele ni born town WA chuga mixer dalali mixer dereva nk nk. Sasa bwana baada ya kusimama babati kupata msosi ndo hapo Hali ya kwenye gari ili badilika.

Abiria alie kaa mbele alisisitiza toka Arusha kwamba AC sio nzuri kiafya pia inaongeza ulaji WA mafuta hivyo izimwe ashushe kioo. Nadhani alijua Hali ya tumbo lake lakini baada ya km kadhaa niliomba nipandishe vioo niwashe Ac maana gari inazuiwa na upepo. Ikawa hivyo mpaka babati

Hapa sasa baada ya Kula tukaendelea na Safari yetu. Ilinibidi Tu nishushe kioo Changu nilishindwa kuvumilia Ile harafu lakini wanyuma wakawa wanalalamika baridi baadae nawao.wakaipata Ile harafu jamaa alikua ana jamba saaaaana non stop alafu hasemi chochote kashikilia handle za juu ya mlango as if gari inapita kwenye mashimo Kwa mwendo WA Kasi.

Tulipo fika kondoa mm nikajifanya Kama nataka niongee na simu so nikasimama ili kutoa nafasi ya yeye kukimbia Chooni lakini wala hakujigusa. Tukaendelea na Safari kabla ya kutika kondoa kuna jamaa walinipita walikua wanakimbizana ilikua ni tako la nyani na Xtrail. Baada ya kuondoka hapo kondoa mbele nilikuta Ile tako la nyani ime pasua Mpira WA mbele kulia Yule alie Kua anakimbizana nae kamuacha.

Hapa nadhani ndio ilikua chance ya huyu jamaa anae Jambo hovyo kuweka Sawa tumbo lake baada ya kusimama Tu yeye ndio alikua wakwanza kushuka na Sisi kidogo Hali ikapoa kwenye gari. Tuka msaidia jamaa kubadili Mpira ule alikua Hana wheel spanner na Yuko pekeake kwenye gari alafu inaonyesha ni mgeni kabisaaaaaaa WA magari maana hata hand brake hajui iko wapi.

Nilitoka saa tisa kasoro kumi nimefika saa mbili usiku. Mpaka sasa Dar to Dodoma kupitia Arusha sina cheti wala sijatoa ya kufutia kiatu. Mungu nimwema tumefika salama.
Muhuni alikuwa anaviachia vya kimya kimya 😂😂😂 AC haifui dafu
 
Dah.....wiki hii nataka nijaribu Dar - Moro - Dom kwa baisikeli. Lakini dhamira yangu ni kufika Durban kwa baisikeli......
Miaka ya nyuma tulijaribu mimi na rafiki yangu kwenda bagamoyo na mountain bike,tulifanikiwa kwenda na kurudi ila hatukutegemea kwa ule msoto,wakati tunarudi tulipata taabu sana kwa kukinzana na upepo.Kutoka Dar(kijichi) hadi bagamoyo ni approximately km 78 hivi.Ila ile barabara ina nyoka sana,tuliwaona barabarani watatu wamegongwa na magari.It was just a tour, we were ready for any challenges ahead of us.
 
Jana nilitoka Arusha kwenda mji mkuu. Safari ilianzia stand kubwa ya chuga. Nilipata wadau WA kupunguza makali yamafuta maana kule ni 3090 petrol.
Safari ilikua nzuri mpaka babati baada ya hapo nilitamani gari ipae iangukie dom. Kama abiria niliobeba watakuwemo humu basi wani samehe bure.

Nyuma walikaa mkaka na mdada wakaelewana Sana maana kumbe wanafanya KAZI Kwa muajiri mmoja. Nilie kaa nae mbele ni born town WA chuga mixer dalali mixer dereva nk nk. Sasa bwana baada ya kusimama babati kupata msosi ndo hapo Hali ya kwenye gari ili badilika.

Abiria alie kaa mbele alisisitiza toka Arusha kwamba AC sio nzuri kiafya pia inaongeza ulaji WA mafuta hivyo izimwe ashushe kioo. Nadhani alijua Hali ya tumbo lake lakini baada ya km kadhaa niliomba nipandishe vioo niwashe Ac maana gari inazuiwa na upepo. Ikawa hivyo mpaka babati

Hapa sasa baada ya Kula tukaendelea na Safari yetu. Ilinibidi Tu nishushe kioo Changu nilishindwa kuvumilia Ile harafu lakini wanyuma wakawa wanalalamika baridi baadae nawao.wakaipata Ile harafu jamaa alikua ana jamba saaaaana non stop alafu hasemi chochote kashikilia handle za juu ya mlango as if gari inapita kwenye mashimo Kwa mwendo WA Kasi.

Tulipo fika kondoa mm nikajifanya Kama nataka niongee na simu so nikasimama ili kutoa nafasi ya yeye kukimbia Chooni lakini wala hakujigusa. Tukaendelea na Safari kabla ya kutika kondoa kuna jamaa walinipita walikua wanakimbizana ilikua ni tako la nyani na Xtrail. Baada ya kuondoka hapo kondoa mbele nilikuta Ile tako la nyani ime pasua Mpira WA mbele kulia Yule alie Kua anakimbizana nae kamuacha.

Hapa nadhani ndio ilikua chance ya huyu jamaa anae Jambo hovyo kuweka Sawa tumbo lake baada ya kusimama Tu yeye ndio alikua wakwanza kushuka na Sisi kidogo Hali ikapoa kwenye gari. Tuka msaidia jamaa kubadili Mpira ule alikua Hana wheel spanner na Yuko pekeake kwenye gari alafu inaonyesha ni mgeni kabisaaaaaaa WA magari maana hata hand brake hajui iko wapi.

Nilitoka saa tisa kasoro kumi nimefika saa mbili usiku. Mpaka sasa Dar to Dodoma kupitia Arusha sina cheti wala sijatoa ya kufutia kiatu. Mungu nimwema tumefika salama.
Nimecheka
Mtu anajamba vipi hovyo kwenye gari ya watu?
Nyie watu majasiri asee!!!
 
Earlier Friday.. Wazee wa road trip hapo kwenye picha ni wapi?
IMG_20221007_083040.jpg
IMG_20221007_082942.jpg
 
Back
Top Bottom