Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ana tege kama langu?Una miguu kama ya ex wangu.
Am very moderate!! kuna watu wanachakata hizo barabara balaa.Hufai Mkuu
Kabisa.Ana tege kama langu?
Mimi yangu imepinda kabisa
Kusema ukweli,Mimi napenda gari zinazokimbia ili niwahi kufika kama safari ni ndefu.Am very moderate!! kuna watu wanachakata hizo barabara balaa.
Aisee! Au ni Mimi?Kabisa.
Karibu!Aisee! Au ni Mimi?
Ila siyo mimi😁
Basi duniani wawili wawili.
Mbeya - DSM,Karibu!
Hivi karibu una safari ya kwenda wapi?
Na unaweza kuvumilia mwisho speed ngapi?
Hili ni tatizo juzi nilikua natoka Songea Moro na nilisafiri na jamaa ambae ni dereva, basi hayo maelekezo huko barabarani hadi muda mwingine nakaa kimya nanyoosha goti.Mbeya - DSM,
DSM-DOM.
Wewe kimbia Speed yoyote tu kikubwa tusiyumbe.
Halafu kudrive sijui kwahiyo hutapata presha..Unajua ukikaa na dereva mwenzio anaanza kukuelekeza mara pita hapa,Ungenyoosha hapa.
Dada yangu naye ana hiyo tabia.Hili ni tatizo juzi nilikua natoka Songea Moro na nilisafiri na jamaa ambae ni dereva, basi hayo maelekezo huko barabarani hadi muda mwingine nakaa kimya nanyoosha goti.
Utasikia hapo mbele ni blind spot usiovateki mara utasikia hii sehemu ina upepo mkali mara unajua hapo tulivyopita ulikosea!! Aisee hadi nlichoka uzuri alikua anaishia Ilula.
Sure dereva apewe space, unajua kuna makosa madogo madogo yanatokea unapodrive kuna yale unaona kabisa yanajirudia rudia ni bora ukamkumbusha ila sio kila situation unaiongelea. Utasikia punguza speed hiyo 160KM/H ni kubwa sana, unamwambia si unaona barabara iko clear hakuna kona kali mara utasikia oohh unajua hivi mara vile dahh!!Dada yangu naye ana hiyo tabia.
Yaani ukikaa naye mbele uwe na roho nyeupee..anamuelekeza dereva hadi anakera.
Bro ndiye huwa anaendesha route ndefu,
Utasikia huku umesogea mno..kuna muda dereva alienda rafu akaovateki kwenye tuta..akataka amvae wa mbele aiseee!!Alilaumiwa njia nzima.
Hadi mimi nisiye dereva nikaingilia kati kwamba mpeni dereva uhuru,,Yeye anajua wapi apite.
Angeenda kumsaidia huyo dada.Sure dereva apewe space, unajua kuna makosa madogo madogo yanatokea unapodrive kuna yale unaona kabisa yanajirudia rudia ni bora ukamkumbusha ila sio kila situation unaiongelea. Utasikia punguza speed hiyo 160KM/H ni kubwa sana, unamwambia si unaona barabara iko clear hakuna kona kali mara utasikia oohh unajua hivi mara vile dahh!!
Kingine mi nadhani hatupaswi kua na negativity, yes ajali zinatokea ila kwa nini muda wote uwaze ajali?
Kuna mahali karibu kabisa na Ilula kuna mdada alikua nyuma yangu anaendesha Suzuki swift yule dada sijui ni uzembe sijui ni kujisahau mie nimesimama maana mbele kulikua na lorry lilipata breakdown so nilisimama ili gari za upande wa kulia zipite ndo nitoke aisee yule mdada namuona kwenye rear view mirror anakuja tu mara nasikia mshindo kanigonga kwa nyuma.
Nikashuka kucheki hali nakuta anavuja damu mdomoni cha kwanza kaka samahani mara hivi mara vile nikamuuliza vipi umeumia? Anatetemeka hatari, nikaisogeza gari yake pembeni kabisa nikamuuliza ulifunga mkanda akajibu hapana nikamwambia ndo maana umeumia mdomoni. Hood ilipinda mbaya sana, mie akaniachia minor scratches nikaona isiwe shida nikamwambia kama hauko sawa kuna dereva akusogeze hadi ilula.
Dereva mwenzangu aliongelea hilo jambo hadi kero moyoni nasema we si unaenda shukia hapo Ilula kaa kwa kutulia soon ntakua free na makelele.[emoji1787][emoji1787]
[emoji81][emoji16][emoji81] mlilikuwa mnaungua uliwasanua walipuuzia TU gari ikichemasha unaskia TU harufuUnadhani hata nilikuwa naelewa basi[emoji2]NDio nikawa naona humo ndani kumbe Kuna hadi madumu ya maji[emoji16]..
Tulivyoweka maji,kumbe hilo dumu lilikuwa limetoboka,yakapitiliza Hadi kwenye oil.
Sema tangu tumeanza safari niliwaambia jamani gari inanuka,,wakasema kwa sababu tumejaza mizigo kwenye Buti..Haya.
Mm nikatafuta barakoa nikavaa maana nilikuwa nasikia harufu kali tu.
Wakasema kawaida,wakati mwenzao hadi nikawa nahisi macho yanauma kwa ile harufu ya moshi.[emoji81][emoji16][emoji81] mlilikuwa mnaungua uliwasanua walipuuzia TU gari ikichemasha unaskia TU harufu
Sure dereva apewe space, unajua kuna makosa madogo madogo yanatokea unapodrive kuna yale unaona kabisa yanajirudia rudia ni bora ukamkumbusha ila sio kila situation unaiongelea. Utasikia punguza speed hiyo 160KM/H ni kubwa sana, unamwambia si unaona barabara iko clear hakuna kona kali mara utasikia oohh unajua hivi mara vile dahh!!
Kingine mi nadhani hatupaswi kua na negativity, yes ajali zinatokea ila kwa nini muda wote uwaze ajali?
Kuna mahali karibu kabisa na Ilula kuna mdada alikua nyuma yangu anaendesha Suzuki swift yule dada sijui ni uzembe sijui ni kujisahau mie nimesimama maana mbele kulikua na lorry lilipata breakdown so nilisimama ili gari za upande wa kulia zipite ndo nitoke aisee yule mdada namuona kwenye rear view mirror anakuja tu mara nasikia mshindo kanigonga kwa nyuma.
Nikashuka kucheki hali nakuta anavuja damu mdomoni cha kwanza kaka samahani mara hivi mara vile nikamuuliza vipi umeumia? Anatetemeka hatari, nikaisogeza gari yake pembeni kabisa nikamuuliza ulifunga mkanda akajibu hapana nikamwambia ndo maana umeumia mdomoni. Hood ilipinda mbaya sana, mie akaniachia minor scratches nikaona isiwe shida nikamwambia kama hauko sawa kuna dereva akusogeze hadi ilula.
Dereva mwenzangu aliongelea hilo jambo hadi kero moyoni nasema we si unaenda shukia hapo Ilula kaa kwa kutulia soon ntakua free na makelele.[emoji1787][emoji1787]
[emoji39][emoji39][emoji39] wewe unafaa sana safariniMsitubague wadada jamani [emoji23]
Mm natoa msaada gari ikichemsha.
Ilichemsha vichakani na maji hakuna.
Wacha nizunguke Kwa nyumba za watu ,nazo ziko mbali mbali..saa 4 tu wanaogopa kufungua milango.
[emoji16][emoji75]Wakasema kawaida,wakati mwenzao hadi nikawa nahisi macho yanauma kwa ile harufu ya moshi.
Kweli kabisa ukiwa peke Ako kujiamini ni kwingi fatilia ajali nyingi mbaya za gari linalokuwa na watu wengi Huwa ni ngumu kupona asa SI usiombe upakie Hawa wadada.Dereva hapewi maelekezo anafanya maamuzi yake coz yeye ndo anajua atahandle vp gari, yani maelekezo yakiwa mengi yanamchanganya tu. Yan huwa nachukua sometimes unakuta mtu anakwambia bamsi hilo uku mi hapo mguu upo kwny break nshaliona zamani tu, cjui huoni watu we unakimbiza tu. Mi nakumbuka nilipokuwa driving school mwalimu alinambia ‘’ we unajua gari sema maelekezo mengi ndo maana sometimes yanakuchanganya’’ Na ni kweli nilipoingia road mwenyewe niliona utofauti nikawa nagonga gear vizuri tu, kwanza mi najiamini sana nikiwa naendesha gari mwenyewe kuliko nikiwa nmebeba watu yani kuna mambo fulani huwa cwez fanya ambayo huwa nafanya niliwa peke yangu[emoji23]
Naweza kuomba maji tu.[emoji39][emoji39][emoji39] wewe unafaa sana safarini