Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Msitubague wadada jamani 😂
Mm natoa msaada gari ikichemsha.
Ilichemsha vichakani na maji hakuna.
Wacha nizunguke Kwa nyumba za watu ,nazo ziko mbali mbali..saa 4 tu wanaogopa kufungua milango.
We mdada mrembo...
Fanya hapo 'jikoni' papigee maji ya pressure aisee, si kwa hilo vumbi atiii