Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Tunawahi kufika.Kumbe na we mnazi kabisa.
Kuna abiria walianza kulalamika eti ooh gari linakimbia.
Dereva akasema linakimbia au linatembea?
Gari linakwenda mwendo wa serikali..Ukisema linakimbia unakosea..Tuonyeshe linakimbia wapi.
Mimi nikawa najiwazia tu kuwa walikuja kutafuta nini?
Ulishaambiwa gari inafika saa12 Mbeya kutoka Dar na unaenda kupanda!
Sasa walidhani njiani linaenda mwendo wa konokono?