Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Dar - Songea via Lindi.

Njia rahisi sana kuendesha hii.

Wale madereva wa usiku zingatia following distance na kuzima high beams.
20221018_194844.jpg
 
Barabara ikiwa straight kama ya Dar Arusha ni rahisi kufika kwa huo muda.

Ila barabara ya Mbeya ina mambo mengi sana. Hapo Iyovu mpaka Iringa kona, milima, mabonde n.k. kuna muda utapoteza kidogo, mikumi nako sheria kibao.

Aliefikisha hiyo gari Mbeya kwa huo muda ni dereva haswa.
Kumbe barabara ya Dar_Arusha iko straight,
Nimeongeza huu Mkoa kwenye wishlist mwaka huu niende.
 
Back
Top Bottom