ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Mimi hivi karibuni nimeweka kituo Mkuu.Hope you ar on this trip [mention]Saint Anne [/mention]
Kumbe barabara ya Dar_Arusha iko straight,Barabara ikiwa straight kama ya Dar Arusha ni rahisi kufika kwa huo muda.
Ila barabara ya Mbeya ina mambo mengi sana. Hapo Iyovu mpaka Iringa kona, milima, mabonde n.k. kuna muda utapoteza kidogo, mikumi nako sheria kibao.
Aliefikisha hiyo gari Mbeya kwa huo muda ni dereva haswa.
Mzee wa mambioDar - Songea via Lindi.
Njia rahisi sana kuendesha hii.
Wale madereva wa usiku zingatia following distance na kuzima high beams. View attachment 2391596
Karibu songea mkuu.... ugumu wake upo kuanzia kiuma kuitafuta namtumbo.... hiyo kilimasera sio poa kabisaDar - Songea via Lindi.
Njia rahisi sana kuendesha hii.
Wale madereva wa usiku zingatia following distance na kuzima high beams. View attachment 2391596
Yes tumkaribishe songea, fika huku lingusenguse mkuuKaribu songea mkuu.... ugumu wake upo kuanzia kiuma kuitafuta namtumbo.... hiyo kilimasera sio poa kabisa
Yes Sauli Team ni kwenda kifua mbele...piga kelele nyingi!!,sauli,sauli, sauli, binafsi nikikosa ticket ya sauli bora sisafiriMnyama
Kufika huko ni kisanga sana hasa mvua ikinyeshaYes tumkaribishe songea, fika huku lingusenguse mkuu
Yes mkuu tumesahaulika kabisa, yaani tumetengwa kabisa!,ila tumeshazoea ,Kufika huko ni kisanga sana hasa mvua ikinyesha
Travel safely mkuu,thanks kwa vipicha endelea kutupia hasa ya vijiji baada ya kupita namtumbo
Kwa hapo ulipo kuiona songea ni saa saba flani hivi
Changamoto gani mkuu?Karibu songea mkuu.... ugumu wake upo kuanzia kiuma kuitafuta namtumbo.... hiyo kilimasera sio poa kabisa
Sio kweli. Saa 6 kasoro ntakuwepo. Ndo natoka namtumboKwa hapo ulipo kuiona songea ni saa saba flani hivi
Ndo hicho nilikuwa nakupa tahadhari mkuu
Namtumbo to songea ni dakika 50 tu mkuu, so umeshafika songeaSio kweli. Saa 6 kasoro ntakuwepo. Ndo natoka namtumbo
Umepata majanga mkuu??We drive japanese because they can take a beating and keep goingView attachment 2391774