Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

View attachment 2391796

Imeisha. Hiyo miti yenye maua/majani ya purple sijawahi kuiona before. Ni nini?
Hiyo mkuu ni miti mizuri sana na maua yake ni safi sana,inaitwa Jacaranda, wenzetu hapo SA wanayo mingi sana hasa Pretoria ndio maana wanapaita Jacaranda city, nchi hii Mungu alitupa ila imekutana na watu wa vurugu, mingi ya miti hii imekatwa hasa hapo Angoni Arms area,it's craze
 
Ngoja nikafuatilie na kule mbeya nijue ile JACARANDA ya kule ilitokana na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…