Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Kuna vituo vingine gari likilala tu, unakuta betri siyo ile iliyokuwepo....likikaa mwezi halitamaniki tena..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]Na ufanye yote gari yako isilale urafiki pale[emoji28]
Inabidi kuwagia kunguni hapo urafikiNa ufanye yote gari yako isilale urafiki pale[emoji28]
Hii bado hawajaniotea.. nimekuwa siku hizi na ka mchezo kakuchanga kwenye red. Inabidi niache japo hawajanikamata.. ila pia sio salama kwangu hata kidogoJana kuna mmoja kaunga na taa nyekundu external pale akapigwa mkono akavuta,
Jamaa akampandia bodaboda nimeenda kuwakuta wamepaki pale Riverside [emoji23][emoji23]
si bora kunguni wakitoa unga je?Inabidi kuwagia kunguni hapo urafiki
pale external wanakaa kuanzia saa mbili usiku kuna trafiki amevaa Element tayari kukukimbiza na bodabodaHii bado hawajaniotea.. nimekuwa siku hizi na ka mchezo kakuchanga kwenye red. Inabidi niache japo hawajanikamata.. ila pia sio salama kwangu hata kidogo
Urafiki ni namba mojaKuna vituo vingine gari likilala tu, unakuta betri siyo ile iliyokuwepo....likikaa mwezi halitamaniki tena..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
Kama noma na iwe noma.. kituo inabidi kifamyiwe unoko ili kiwe chini ya uangalizi maalumu..si bora kunguni wakitoa unga je?
wana tamaa sanaWale jamaa kama wachawi vile 😀😀. Kuna gari yangu nilikuwa nauza. Kuna dalali mmoja akaniambia usijaribu peleka gari pale. Jamaa ukipeleka gari pale haito kaa ipate mteja hadi uirudishw kwao tena.. na unaweza ukawa unataka uuze labda 15 million, jamaa anakuambia anakupa 5 million..
Huwa nawaona.. na hapo hapo ndio huwa nakatisha vuuu 😀😀😀.. sema mmoja wao alinisimamishaga.. alafu akakuta gari ipo nondo kila kitu akaishia kucheka cheka, akaniomba hela ya sikuu kuu .. na mie nilikuwa vizuri nikamgonga na cha 50... bila ajizi.. huenda ndio maana wana nikaushiapale external wanakaa kuanzia saa mbili usiku kuna trafiki amevaa Element tayari kukukimbiza na bodaboda
pale chochote wanachoweza kupita nacho hawakiachi salamaKama noma na iwe noma.. kituo inabidi kifamyiwe unoko ili kiwe chini ya uangalizi maalumu..
Shida na wanunuzi nao huwa mapepe sana na hasa kama ameziotea gari. Ila kwa wazoefu ukita gari ya mkononi hauitaji kuwa na haraka hata kidogo.. tofauti na apo unapigwawana tamaa sana
mie nikipata mteja na kuna gari pale mlimani simpeleki mteja,
Ila nitamwambia tu gari unayoitaka Ipo sehemu Fulani kama utainunua kwa extra costs ni Sawa,
kama utasubiri tutafute gari nzuri kwa bei halisi,Karibu.
Wape tu kuna shemeji yenu pale hili ahonge vizuri,Huwa nawaona.. na hapo hapo ndio huwa nakatisha vuuu 😀😀😀.. sema mmoja wao alinisimamishaga.. alafu akakuta gari ipo nondo kila kitu akaishia kucheka cheka, akaniomba hela ya sikuu kuu .. na mie nilikuwa vizuri nikamgonga na cha 50... bila ajizi.. huenda ndio maana wana nikaushia
Na mie nitakuwa mnoko na hicho kituo.. hadi kieleweke.. ma forums yote haya ukiyatumia lazima kinuke tupale chochote wanachoweza kupita nacho hawakiachi salama
upo vizuri,Shida na wanunuzi nao huwa mapepe sana na hasa kama ameziotea gari. Ila kwa wazoefu ukita gari ya mkononi hauitaji kuwa na haraka hata kidogo.. tofauti na apo unapigwa
Una maana 50,000/- ?Huwa nawaona.. na hapo hapo ndio huwa nakatisha vuuu 😀😀😀.. sema mmoja wao alinisimamishaga.. alafu akakuta gari ipo nondo kila kitu akaishia kucheka cheka, akaniomba hela ya sikuu kuu .. na mie nilikuwa vizuri nikamgonga na cha 50... bila ajizi.. huenda ndio maana wana nikaushia
Siku ile alinikuta vizuri, alafu nilikuwa na furaha.. siku ingine haipo hiyo 😀😀Wape tu kuna shemeji yenu pale hili ahonge vizuri,
Ndio Tsh 50,000/=. Nilikuwa nafuraha, maana kuna dili nilikuwa nafukuzia zaidi ya mwezi, na siku hiyo likawa limetiki.. nilijawa na furaha . Nae nikampa furaha kidogoUna maana 50,000/- ?