Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Jana kuna mmoja kaunga na taa nyekundu external pale akapigwa mkono akavuta,

Jamaa akampandia bodaboda nimeenda kuwakuta wamepaki pale Riverside [emoji23][emoji23]
Hii bado hawajaniotea.. nimekuwa siku hizi na ka mchezo kakuchanga kwenye red. Inabidi niache japo hawajanikamata.. ila pia sio salama kwangu hata kidogo
 
Wale jamaa kama wachawi vile 😀😀. Kuna gari yangu nilikuwa nauza. Kuna dalali mmoja akaniambia usijaribu peleka gari pale. Jamaa ukipeleka gari pale haito kaa ipate mteja hadi uirudishw kwao tena.. na unaweza ukawa unataka uuze labda 15 million, jamaa anakuambia anakupa 5 million..
wana tamaa sana
mie nikipata mteja na kuna gari pale mlimani simpeleki mteja,

Ila nitamwambia tu gari unayoitaka Ipo sehemu Fulani kama utainunua kwa extra costs ni Sawa,
kama utasubiri tutafute gari nzuri kwa bei halisi,Karibu.
 
pale external wanakaa kuanzia saa mbili usiku kuna trafiki amevaa Element tayari kukukimbiza na bodaboda
Huwa nawaona.. na hapo hapo ndio huwa nakatisha vuuu 😀😀😀.. sema mmoja wao alinisimamishaga.. alafu akakuta gari ipo nondo kila kitu akaishia kucheka cheka, akaniomba hela ya sikuu kuu .. na mie nilikuwa vizuri nikamgonga na cha 50... bila ajizi.. huenda ndio maana wana nikaushia
 
wana tamaa sana
mie nikipata mteja na kuna gari pale mlimani simpeleki mteja,

Ila nitamwambia tu gari unayoitaka Ipo sehemu Fulani kama utainunua kwa extra costs ni Sawa,
kama utasubiri tutafute gari nzuri kwa bei halisi,Karibu.
Shida na wanunuzi nao huwa mapepe sana na hasa kama ameziotea gari. Ila kwa wazoefu ukita gari ya mkononi hauitaji kuwa na haraka hata kidogo.. tofauti na apo unapigwa
 
Huwa nawaona.. na hapo hapo ndio huwa nakatisha vuuu 😀😀😀.. sema mmoja wao alinisimamishaga.. alafu akakuta gari ipo nondo kila kitu akaishia kucheka cheka, akaniomba hela ya sikuu kuu .. na mie nilikuwa vizuri nikamgonga na cha 50... bila ajizi.. huenda ndio maana wana nikaushia
Wape tu kuna shemeji yenu pale hili ahonge vizuri,
 
Huwa nawaona.. na hapo hapo ndio huwa nakatisha vuuu 😀😀😀.. sema mmoja wao alinisimamishaga.. alafu akakuta gari ipo nondo kila kitu akaishia kucheka cheka, akaniomba hela ya sikuu kuu .. na mie nilikuwa vizuri nikamgonga na cha 50... bila ajizi.. huenda ndio maana wana nikaushia
Una maana 50,000/- ?
 
Back
Top Bottom