Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

VXR acha kabisaa mzee, inakichafuaa hatari mzee .. wenye nazo salute kubwa sanaa.. LX300 VXR kiatu cha maana una vimulimuli ni mwendo 200 nimeshuka 170 hadi 240 nakuwa nachezea humu tuu kidogo nimeshuka 150-120 nakuwa naisaka wastani 170-200 tu

Kinachochelewesha sio tochi wala traffic ni malori mengi barabarani.. ila kma barabara ni nyeupe hakuna shida unaweza fika hata kwa masaa matano… ukipewa gari uende ndo utaona… kumbuka kiongozi anasafishiwa njia
 
Mmmmm mchanganyiko huu mkuu ni toxic, drinking&driving plus ladies, yeah ila ni vema ukapaki na kukaa nje ya gari maana hiyo harufu ya premium whisky 🥃 haitoki kirahisi ndani ya gari, but all is well Songea kuko Safi sana na wakazi wake ni wema sana,salute wangoni, wandendeule, ohooo mbinga kahawa yenye ni top hapa AFRICA,
 
Niko Mafinga mkuu Songea nishaaga. Now napambana na maafande korofi wa mkoa wa Iringa.
Travel safely, hicho kipande cha kushukia Mafinga zile tuta zinachukuza mno, hivi hii wilaya ina engineers kweli?,ule uchafu unaua suspensions za magari, kila wakati unabidi u break hard na matokeo yake unatumia fuel ⛽ nyingi, yaani nikiwa na uwezo hizi tuta zote kwenye freeways nitafutilia mbali, badala yake nitajenga fixed speed cameras
 
Elimu bado inahitajika...[emoji1787][emoji1787]
Yaani unakuta mtu anajadili mada kwa ujasiri kama vile anaijua
 
.....tena usije ukakutana na madereva wa vijiwe vya taxi..[emoji119][emoji119][emoji1787]
Utabishana nao mpaka uishiwe maji
 
Mkuu umeona hiyo gari kwanza, hiyo LC 300 VXR na umeisha elezwa condition ya barabara, kipi kisichowezekana kwa hayo masaa tisa sasa ? au unafikiri wote wageni road
Mkuu bado nasisitiza, siku ukiwa na nafasi tuweke mkeka...hapa tunaongelea facts, huwezi kuwa dereva unajielewa uondoe sababu zote za vizuizi barabarani kisha ujisifie ni mwenyeji barabarani na labda hujawahi hata ku experience hilo, udereva ni pamoja na kukabiliana yote ya barabarani, upatiwe LC 300 VXR utoboe masaa 9 dar - mwanza bila madereva wengine kufungwa mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…