Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Hamna, jana kulikua na meli kubwa imetia nanga Mbambabay imeelekea Matema leo asubuhiHivi hakuna barabara inayopita gari hata ya vumbi itokee matema kyela kupitia mwambao wa ziwa nyasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna, jana kulikua na meli kubwa imetia nanga Mbambabay imeelekea Matema leo asubuhiHivi hakuna barabara inayopita gari hata ya vumbi itokee matema kyela kupitia mwambao wa ziwa nyasa?
Nipo Mbinga leo, huko nishatoka.Mkuu kuna ka beg kangu apo Manda kuja mwanza vipi inawewezekana nije pm [mention]elmis [/mention]
Tumepishana.View attachment 2394903
Kutokea Ludewa chuma imekata Luilo, Manda,
View attachment 2394905then ikambaa pembezoni mwa ziwa mpaka ikaibuka Nyasa.
Wapi mkuu? Kwa maana umeniona au hatujaonana?Tumepishana.
Nimetoka Songea saa 6 hivi, nimepita njombe around saa 11. Hatujapishana barabarani kweli?Wapi mkuu? Kwa maana umeniona au hatujaonana?
Hapana mkuu, nimepita Njombe juzi then Ludewa, Nyasa now Mbinga. Kesho Songea. Kama upo Songea nitakua La Chalz pale kuchek game hiyo saa 11 jioni. Karibu mkuu.Nimetoka Songea saa 6 hivi, nimepita njombe around saa 11. Hatujapishana barabarani kweli?
Nipo Mbinga leo, huko nishatoka.
VXR acha kabisaa mzee, inakichafuaa hatari mzee .. wenye nazo salute kubwa sanaa.. LX300 VXR kiatu cha maana una vimulimuli ni mwendo 200 nimeshuka 170 hadi 240 nakuwa nachezea humu tuu kidogo nimeshuka 150-120 nakuwa naisaka wastani 170-200 tu
Itakuwa inaelekea Itungi Port kule matema hakuna Port yard mkuu.Hamna, jana kulikua na meli kubwa imetia nanga Mbambabay imeelekea Matema leo asubuhi
Mmmmm mchanganyiko huu mkuu ni toxic, drinking&driving plus ladies, yeah ila ni vema ukapaki na kukaa nje ya gari maana hiyo harufu ya premium whisky 🥃 haitoki kirahisi ndani ya gari, but all is well Songea kuko Safi sana na wakazi wake ni wema sana,salute wangoni, wandendeule, ohooo mbinga kahawa yenye ni top hapa AFRICA,
Niko Mafinga mkuu Songea nishaaga. Now napambana na maafande korofi wa mkoa wa Iringa.Hapana mkuu, nimepita Njombe juzi then Ludewa, Nyasa now Mbinga. Kesho Songea. Kama upo Songea nitakua La Chalz pale kuchek game hiyo saa 11 jioni. Karibu mkuu.
Travel safely, hicho kipande cha kushukia Mafinga zile tuta zinachukuza mno, hivi hii wilaya ina engineers kweli?,ule uchafu unaua suspensions za magari, kila wakati unabidi u break hard na matokeo yake unatumia fuel ⛽ nyingi, yaani nikiwa na uwezo hizi tuta zote kwenye freeways nitafutilia mbali, badala yake nitajenga fixed speed camerasNiko Mafinga mkuu Songea nishaaga. Now napambana na maafande korofi wa mkoa wa Iringa.
Elimu bado inahitajika...[emoji1787][emoji1787]Wenye tabia za kushabikia mada kama hii mkuu ni mafundi gereji wao kitest na wakishapigiana stori za vijiweni wanakubali Kuna jamaa yangu huku kisa alipitiaga gereji siku Moja ananiambia scania inatembea kuliko Land cruiser V8 kwa jina maarufu sikutaka kumbishia maana ningetwanga maji[emoji2]
.....tena usije ukakutana na madereva wa vijiwe vya taxi..[emoji119][emoji119][emoji1787]Huu ubishi niliukuta pale Udsm madereva wanabisha nikaingilia lkn wapii mwisho nikawaambia hata pikipiki ikiwa spidi 100 na gari itakuwa hivyo hivyo wakabisha [emoji23] ikabidi tuchukue pikipiki na land kruza tukapima wakapata jibu na ubishi ukaisha..
Acha tu mkuu...unabishana na mtu, mwishowe u agundua hana kichwa, anamiliki tikiti maji, basi unamwacha[emoji1787][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]unatamani uwapige vibao yaani
Kuna jamaa mmoja tena msomi kabisa alikuwa anaeleza huo ujinga ,nilimnyamazia tu ,speed ni ile ile iwe scania au gari ndogo, ukifika mia na yy afike mia mnatembea mwendo mmoja......tena usije ukakutana na madereva wa vijiwe vya taxi..[emoji119][emoji119][emoji1787]
Utabishana nao mpaka uishiwe maji
[emoji3][emoji2] hasa watu walio pitia gereji kwa muda mfupi ni wabishi sanaElimu bado inahitajika...[emoji1787][emoji1787]
Yaani unakuta mtu anajadili mada kwa ujasiri kama vile anaijua
Mkuu bado nasisitiza, siku ukiwa na nafasi tuweke mkeka...hapa tunaongelea facts, huwezi kuwa dereva unajielewa uondoe sababu zote za vizuizi barabarani kisha ujisifie ni mwenyeji barabarani na labda hujawahi hata ku experience hilo, udereva ni pamoja na kukabiliana yote ya barabarani, upatiwe LC 300 VXR utoboe masaa 9 dar - mwanza bila madereva wengine kufungwa mkonoMkuu umeona hiyo gari kwanza, hiyo LC 300 VXR na umeisha elezwa condition ya barabara, kipi kisichowezekana kwa hayo masaa tisa sasa ? au unafikiri wote wageni road
Mitaa ya hiyo nakumbuka nikipita kwa Bibi na kuondoka na zawadi ya korosho na karangaView attachment 2391796
Imeisha. Hiyo miti yenye maua/majani ya purple sijawahi kuiona before. Ni nini?