Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Na palivyo porini sometime wanaweka tochi
 
Ukitaka ku save fuel endesha kwa minimal brakes. Ukiona tuta mbele achia mafuta mapema gari icoast by the time unalifijia tuta iwe ishapunguza momentum yenyewe. Then unaipa mafuta kidogo tu ya kulisogeza mpaka tuta lijalo kwasababu matuta yanakuwaga kwa mafungu.


Sikuhizi trip zangu zote napata consistently 11kmpl au zaidi kwenye gari ya 3500cc baada ya kubadilisha design ya uendeshaji
 
Sasa kama mabasi yaliweza kutumia masaa mawili au mawili kasoro dar-moro V8 inashindwaje kutumia huo muda au chini yake,au na wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini basi ni zaidi ya gari ndogo huku kigezo kikiwa mzunguko wa tairi![emoji23]
Nimeuliza, hiyo Puma pickup 85 minutes Dar to Moro, ilikuwa Dar sehemu gani exactly na Moro sehemu gani?

Hukuwa na haja ya kufika huku. Ungesema huna intimate details.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…