Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 248
- 744
[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna dereva huo. Huyo atakuwa hana experience ya muda mrefu barabarani. Alivyokaa upande huo ndio huo huo mpaka alipofika kwenye destination yake.Nimeongozana nae umbali mrefu sana nikajiuliza maswali yasio na majibu.