Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

angalau wenye vyeo wanauelewa na wako wachache
hakuna cha wenye vyeo wala nini. ukatili na mitizamo ya kijinga ya baadhi ya wanajeshi wa tz wanaipata kwa haohao wakubwa zao huko kwenye makambi yao wakati wa training.

huko ndiko wanakojazwa sumu ikihusisha idealogy za kijinga za ukomunisti kutoka zama za sovieti na uchina ya zamani.
 
Tusomane wadau. Nipo Kondoa kijiji kinaitwa serya natoboa mpaka mongoroma, waama, Dirma mpaka katesh kwa watoto wa zuri.
Barabara huku ni hatarishi mnooo. Hapo kutoka kondoa kwenda Serya ni 13km tuna tumia dakika 45 mpaka lisaa, Kuna mto bubuuu hapo kati hakuna daraja na hakuna maji kwa sasa lakini magari yana nasa hapo kwenye mchanga balaa. Mungu tu . Wenyeji wanasema unaitwa mto bubu sababu maji yake hua hayana kelele yana kuja kimya kimyaaa. Ni shotcut ya kutoka Handeni kwenda kilindi then kiteto mpaka kondoa then katesh mpaka Singida.
 
Upo na chuma gani mkuu

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…