Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Yaani hiyo 20k nilimchangia kwa kuniwekea mafuta kwenye gari langu..[emoji3062][emoji3062]Mkuu si ungemchangia huyu attendant 20k ili aweze kulipa deni?
Sikuwa na namna.....ila alikuwa mzembe...alifuata risiti umbali kama wa mita 10..jamaa akapata upenyo akasepa...