Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Lile la mbao pale mbele ndio linawachanga. Uliunga tela hadi chini ama ulitoa kulia ukatembea? [emoji4][emoji4]
Aaah wapi kakangu!! Nataka kuishi!
Kuendesha Kitonga ni pambano la kutosha kwangu mimi.
Na tulikuwa wadada wawili tunasafiri bila mwanaume. So we were extra cautious. Rafiki yangu ndio muoga kuliko mimi, hata kuendesha alikataa.
 
He he he, tahadhari ni muhimu sana. Next trip utapazoea, mahesabu yakikuruhusu utatembea. Kuna muda wajikuta unachoka kukaa nyuma ya malori na ukicheki kuleee wanaopandisha kweupee (ni salama kutoa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…