LadyLufuna
Member
- Jul 16, 2022
- 29
- 150
Kitonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari kali kila mjanja lazma atataka awe nayo kwenye lot yake.Tatizo la haya yanakuwaga yeboyebo. Soon yatakuwa mengi. Ingekuwa Nissan Patrol ingekuwa habari nyingine.
Mitaa gani hii mkuu, kama Ulongoni hivi
View ya kibabeMore Kitonga
View attachment 2415876
Lile la mbao pale mbele ndio linawachanga. Uliunga tela hadi chini ama ulitoa kulia ukatembea? [emoji4][emoji4]More Kitonga
View attachment 2415876
Aaah wapi kakangu!! Nataka kuishi!Lile la mbao pale mbele ndio linawachanga. Uliunga tela hadi chini ama ulitoa kulia ukatembea? [emoji4][emoji4]
Safi sanaNina 1400+ dashcam videos from this trip. Ila sijapata muda wa kuziangalia. Tulitoka Dar - Iringa - Mafinga - Makambako - Njombe - Tunduma and back.
Nimeanza kuzi-upload youtube
Kila la kher mkuu[emoji120]Ngoja nisogee moro chaapView attachment 2417347
Thanks mkuu, narudi sasaPoleni
Unakaribia
Lutheran Junior Seminary hapa, umewakuta wajomba hawajafunga kijiwe chao bado [emoji4][emoji4]Thanks mkuu, narudi sasaView attachment 2417709
He he he, tahadhari ni muhimu sana. Next trip utapazoea, mahesabu yakikuruhusu utatembea. Kuna muda wajikuta unachoka kukaa nyuma ya malori na ukicheki kuleee wanaopandisha kweupee (ni salama kutoa)Aaah wapi kakangu!! Nataka kuishi!
Kuendesha Kitonga ni pambano la kutosha kwangu mimi.
Na tulikuwa wadada wawili tunasafiri bila mwanaume. So we were extra cautious. Rafiki yangu ndio muoga kuliko mimi, hata kuendesha alikataa.