Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Habarini wakuu ...mm ni kijana ni dreva mzuri ...mdogo wenu naangaaika na connection za kazi za undreva naombeni msaada wenu ...maana kuomba pesa siwezi ila kazi naomba sana ....nisaidieni mdogo wenu
Omba Mungu weka alarm ya kuamka asbh saa 11 omba Mungu akufungulie bila Kuchoka na ukiweza kufunga funga Kwa Siri mtu asijue.Milango itafunguka Mungu anajibu maombi
 
Wakuu kwema? Ule muda wa road trips umefika tena, 'Bad Boy' nishamfanyia service wiki iliopita sasa hivi anahesabu siku tu kabla ya kwenda kuwacharaza wenzie barabarani. Huu mwaka umekuwa mgumu sana i cant wait to hop somewhere quiet for a vacation!
 
Aaah wapi kakangu!! Nataka kuishi!
Kuendesha Kitonga ni pambano la kutosha kwangu mimi.
Na tulikuwa wadada wawili tunasafiri bila mwanaume. So we were extra cautious. Rafiki yangu ndio muoga kuliko mimi, hata kuendesha alikataa.
Wadada wa SHOKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…