Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ngoja niwape picha kidogo
Oil filter ya hio Benz average 30,000
Air filter average 50,000
Hii ikifa ball joint unanunuq complete arm na Kuna arms nne mbele inaweza kukutoka 800k-1m
Shocks za mbele average kama 500,000
Tutaje bei za Crown?
Au mnazungumzia fuel consumption?
Uzuri wa Crown unaenda Tandale kuokoteza spare za 5,000.

Au sio mzee Extrovert
 
Habari! Lexus ISF 5.0L V8 engine
YOM -2008 with 419 HP
300km/hr hakuna haja ya kukata kamba...

nimeona specs zake nikapata msukumo Ku share nanyi.

Ahsanteni wakuu.
Screenshot_20221204-103631.jpg
Screenshot_20221204-103806.jpg
 
video kutoka maktaba:
ni katika moja ya roadtrip zangu nilizofanya mwaka 2020.

hapa tunatoka zetu singida kuelekea arusha.
sina knowledge kubwa kuhusu barabara ya singida-arusha, kwa maana hiyo sikumbuki jina la sehemu niliyo record video hii. ila nakumbuka tulikuwa tunaitafuta katesh.

ilikuwa ni msimu wa wa masika, uoto wa kijani ulikuwa umekubari sana kiasi cha kuleta mvuto kwa aliyetazama.

NB:
ilikuwa ni trip ya kikazi, gari tuliyotumia ni toyota hiace wagon grand cabin, mali ya taasisi fulani.enjoy.
 
A

View attachment 2435554
Amazing views
 
Back
Top Bottom