video kutoka maktaba:
ni katika moja ya roadtrip zangu nilizofanya mwaka 2020.
hapa tunatoka zetu singida kuelekea arusha.
sina knowledge kubwa kuhusu barabara ya singida-arusha, kwa maana hiyo sikumbuki jina la sehemu niliyo record video hii. ila nakumbuka tulikuwa tunaitafuta katesh.
ilikuwa ni msimu wa wa masika, uoto wa kijani ulikuwa umekubari sana kiasi cha kuleta mvuto kwa aliyetazama.
NB:
ilikuwa ni trip ya kikazi, gari tuliyotumia ni toyota hiace wagon grand cabin, mali ya taasisi fulani.enjoy.
View attachment 2435554