Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅 kwa road trip mkiwa kama familia mbona ina unyama mwingi sana..Tushakupoteza wewe!
Nilijishangaa nimefanya kitu gani, ila Mungu alikuwa upande wangu na ka uzoefu kidogo kakaniokoa. Na ndio sababu za kuchukia trip za usiku..Natafuta jina la hicho kitendo ulichofanya.
Kama mzoefu wa kutembea Mida ya wanga nakushauri fanya hivyo la kama sio mzoefu tembea mchana, kumbuka nyakati zote zina faida na hasara.Haya wazee wa road trip, baada ya kusoma sana humu nami nimehamasika nipige ka trip ka dar tanga dar arround 700km,
Haya tupeane uzoefu kwa kagari kenye injini ya 2SZ kanaweza kunywa lita ngapi kwa safari yote? (Nazungumzia budget)
Pili muda gani mzuri mwanawane wa kukiamsha early morning ama mida ya wanga ndio poa?
Tatu nipeni mi mgeni njia hii ya kaskazini as mi mmakonde dar ntwara ndio sana tu so nipeni hints za kuzingatia ili niwe na safari poa na amaizing.😀😀
Nimeshaandaa bamuziki ba kongo playlist ya kutosha tu kunisindikiza na safari.
Ni hayo tu wazee.
Ondoka saa 11 asubuhi by saa tatu au nne asubuhi uko Tanga. Weka full tank tu itakufikisha na utaongeza kidogo sana kurudi Dar. Barabara hii haina kero za malori au buses kama ile ya dar-moro-dodoma. Tumia njia ya Dar-Bagamoyo-Msata-Segera-Tanga.Haya wazee wa road trip, baada ya kusoma sana humu nami nimehamasika nipige ka trip ka dar tanga dar arround 700km,
Haya tupeane uzoefu kwa kagari kenye injini ya 2SZ kanaweza kunywa lita ngapi kwa safari yote? (Nazungumzia budget)
Pili muda gani mzuri mwanawane wa kukiamsha early morning ama mida ya wanga ndio poa?
Tatu nipeni mi mgeni njia hii ya kaskazini as mi mmakonde dar ntwara ndio sana tu so nipeni hints za kuzingatia ili niwe na safari poa na amaizing.😀😀
Nimeshaandaa bamuziki ba kongo playlist ya kutosha tu kunisindikiza na safari.
Ni hayo tu wazee.
December hii nafikiria nitoke nje ya Tz, nchi jirani East Africa hii.another roadtrip video from my archive.
hello wazee wa roadtrip, 2022 ndio inaishia kama hivi, mwaka huu umepiga trip ngapi ndani au nje ya nchi?.
mwaka 2018 nilibahatika kusafiri maeneo mbalimbali nchini kikazi. moja ya mkoa ambao nilipiga back to back trip ni mbeya.
ktk kipande cha video ni wakati tunapanda mlima kitonga. ilikuwa ni mwezi december siku mbili tu baada ya kusherehekea xmas. natural vegetation ilikuwa imekubali balaa kiasi cha kupendezesha eneo lote la mlima kitonga.
gari niliyotumia ktk trip hii ni ileile toyota hiace wagon grand cabin niliyotumia ktk trip ya singida-arusha, mali ya taasisi fulani.
enjoy.
View attachment 2438596
kwa mimi this december kama mipango yangu itaenda sawa, nitarudi tena zanzibar, kisiwa cha marashi ya karafuu.December hii nafikiria nitoke nje ya Tz, nchi jirani East Africa hii.
Hii michoro inafanana sana na niliyoichora Christmass last year, Nilichojifunza ni kifamilia zaidi sio kuenjoi mimi personaly, Mfano Zanzibar beach resort pa kawaida sana kama beach zetu hizi za kigamboni, nilivosogea verde nikaona pakitoto zaidi yani ile michezo ya beach na the likes.kwa mimi this december kama mipango yangu itaenda sawa, nitarudi tena zanzibar, kisiwa cha marashi ya karafuu.
niliwahi kufanya hivi mwaka 2021.ilikuwa ni mwezi januari, siku kadhaa baada ya kuuaga mwaka 2020.
View attachment 2438701View attachment 2438702
Hii michoro inafanana sana na niliyoichora Christmass last year, Nilichojifunza ni kifamilia zaidi sio kuenjoi mimi personaly, Mfano Zanzibar beach resort pa kawaida sana kama beach zetu hizi za kigamboni, nilivosogea verde nikaona pakitoto zaidi yani ile michezo ya beach na the likes.
Advise ni bora uende pande za nungwi kidogo kuna beach poa na utapata kusuuza macho.
Pia usibook room maeneo yote ya stone town mana utapigwa accomodation ya kitalii wakati service mbovu,
Nililipa pale 120k per night huku nikilala vitanda vya hostel vile vya godoro la futi mbili na nusu. Better you go nje ya mji ndio u book room,
Otherwise pako poa sana ile kukatiza mitaa ya stone town kwa google map mana nilikua nashindwa kukariri vile vichochoro was nice experience.
Kila la kheri mdau
Karibu huku kwa PRESIDENT H&H mkuu, ule mkeka wa T2, wachina wanauramba vema ,hasa kutoka Nakonde hadi Chinsali, na ndio sehemu korofi mno, check points zimepoa sana na zipo chache mnoDecember hii nafikiria nitoke nje ya Tz, nchi jirani East Africa hii.
Ushauri mzuri mkuu umeutoa halafu Tanga to Dar back to Tanga ni trip fupi mno,ni kama starter kwenye 3 me,al course, tembea mchana mkuu wangu, usiku lazima upate uzoefu na uzoefu huu utaupata kwa kusafiri na mtu mzoefu ,wale wakongwe wa Road Trip tuonane hapa soon kwa long trip ya kufungia mwakaKama mzoefu wa kutembea Mida ya wanga nakushauri fanya hivyo la kama sio mzoefu tembea mchana, kumbuka nyakati zote zina faida na hasara.
2SZ bila shaka hii itakua vits, wataalam wanaweza kunikosoa! Fuel capacity ya vits itakuwa lita 42 kama sijakosea! Ipige full tank na kwa bei ya dar petrol itakua chini kiasi around 180K unaweza baki na chenji. Huko unakoenda sijui bei ya mwarabu.
Umakini wa kutosha na pia kurahisisha mambo pitia Bagamoyo, ile ya Chalinze naona mbali so pita short cut vinginevyo nikutakie kila la kheri boss na usisahau mapicha picha ya uzuri wa nchi yetu Mungu akutangulie mkuu
Me mpango wa kwenda nchi jirani,December hii nafikiria nitoke nje ya Tz, nchi jirani East Africa hii.
Duh huko kuimaliza Tunduma tu shughuli,ipo siku. Nina mpango wa Dar-Jburg siku nikinunua brand new car.Karibu huku kwa PRESIDENT H&H mkuu, ule mkeka wa T2, wachina wanauramba vema ,hasa kutoka Nakonde hadi Chinsali, na ndio sehemu korofi mno, check points zimepoa sana na zipo chache mno
Amina mkuu nafanya hivyo kila kukikuchaOmba Mungu weka alarm ya kuamka asbh saa 11 omba Mungu akufungulie bila Kuchoka na ukiweza kufunga funga Kwa Siri mtu asijue.Milango itafunguka Mungu anajibu maombi
binafsi natamani sana siku moja nitembelee mji wa kigali.Me mpango wa kwenda nchi jirani,
Mipango ikikaa sawa naondoka tar 14 dec .
Nakonde - MbalaKaribu huku kwa PRESIDENT H&H mkuu, ule mkeka wa T2, wachina wanauramba vema ,hasa kutoka Nakonde hadi Chinsali, na ndio sehemu korofi mno, check points zimepoa sana na zipo chache mno