Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nakonde - Mbala

ovyo haijakamilika

Mbala - Isoka

km 40 za ovyo mashimo vumbi/tope

Isoka - Chinsali

km 160 tarmac iliyotulia

Chinsali via matumbo shiwang'andu Mpika

tarmac ya zamani atleast na shimo za hapa na pale

Mpika via lavushimanda mununga Serenje

Hii ndio balaa mahandaki/ mashimo ingawa sehemu chache Ina afadhali lakini nyembamba sana

Serenje via mukushi Kapiri mposhi

Hii ndio T2 haswaa

Onyo

Kama hujawahi kupita hii barabara uwe makini muda wowote utabadilishwa jina[emoji1787]
Salute salute mkuu, unaijua vema hii T2,pit stop chinsali military check point
 
Ila kwa sasa naona wanafukia zile sehemu zote zilizokua na mahandaki, Zambia nashindwa kuwaelewa muda mwingine, barabara hii ndio aorta yao ila mahandaki yanaanzia pale pale geti la border yao!
Ni shida

Halafu hata hawajali

Cha ajabu migari yao Ile inapakia abnormal

Huwezi kuta limeanguka za kwetu Sasa[emoji1787]

Ni shida kila km 150 lazima ukute kontena

Kapiga shimo likamchota
 
Ni shida

Halafu hata hawajali

Cha ajabu migari yao Ile inapakia abnormal

Huwezi kuta limeanguka za kwetu Sasa[emoji1787]

Ni shida kila km 150 lazima ukute kontena

Kapiga shimo likamchota
Mkuu upo right tunapoteza trunks nyingi sana Zambia kwa ajali looo inasikitisha mno, na container zinainuliwa kwa kutumia magogo!,sio cranes
 
Mkuu upo right tunapoteza trunks nyingi sana Zambia kwa ajali looo inasikitisha mno, na container zinainuliwa kwa kutumia magogo!,sio cranes
Halafu ni Zambia yote wanafanya hivyo

Kitwe Chingola

Nilikuwa solwezi via mutanda Zambezi

Karibu na Angola huko

Ile barabara nayo imechoka mno

Barabara nzuri ni Kapiri Lusaka kwenda Chirundu huko near Zimbabwe
 
Safari yangu itaanza next week kuelekea Bomang'ombe (Kilimanjaro)

Gari, Premio Cc 1790
Kutoka Kanda ya ziwa

Full tank ni Lita 60 lakini najua mpaka gari ijae zitakuwa kati ya lita 45 mpaka 40 sababu gari haitakuwa empty kabisa

Bajeti ya one route kwa mafuta ni kuanzia 150k- 180k na nna uhakika yatanifikisha.

Naandalizi ni service ya tairi, brake, taa, ( engine oil nishabadili miezi 3 iliyopita na ni ya km 9000 bado ziko 2+k)

Ntabeba spare tyre, jeki, triangle, maji caton 2 makubwa, Dumu la ltr 5 empty emergency,) ntakuwa peke Yangu.

Safari itaanza saa 10 na nusu Alfajiri, ili saa 1 kasoro inikute Shinyanga, na saa 4 kamili niwe singida.

Kuanzia singida ni mkeka usio na magaro kabisa no full kujiachia risk ni ndogo.

Ewe Mwenyezi Mungu Nisaidie.
 
Welldone mkuu unapo plan road trip yako inakua safi sana,always listen the main music!,coming under your bonnet, mziki huu uusikilize sana kuliko unaotoka kwenye speakers zako,rest and rest, avoid road rage, epuka drive and stop hii inakula sana wese, accerate taratibu huku ukiipa gari to pick up the speed itself usilazimishe,AC ni safi ila wese nalo litapotea ,kwa hiyo unapopack ,weka kwenye kivuli, na kila wakati ruhusu hewa mpya kuingia kwenye gari!,travel safely, binafsi yangu ya kufungia mwaka haipo mbali InshaAllah, tupia vipicha mkuu
 
Haya wazee wa road trip, baada ya kusoma sana humu nami nimehamasika nipige ka trip ka dar tanga dar arround 700km,
Haya tupeane uzoefu kwa kagari kenye injini ya 2SZ kanaweza kunywa lita ngapi kwa safari yote? (Nazungumzia budget)
Pili muda gani mzuri mwanawane wa kukiamsha early morning ama mida ya wanga ndio poa?
Tatu nipeni mi mgeni njia hii ya kaskazini as mi mmakonde dar ntwara ndio sana tu so nipeni hints za kuzingatia ili niwe na safari poa na amaizing.😀😀
Nimeshaandaa bamuziki ba kongo playlist ya kutosha tu kunisindikiza na safari.
Ni hayo tu wazee.
Hako ka funcargo hakali wese jamani, kuwa makini na overtakes tu.
 
Welldone mkuu unapo plan road trip yako inakua safi sana,always listen the main music!,coming under your bonnet, mziki huu uusikilize sana kuliko unaotoka kwenye speakers zako,rest and rest, avoid road rage, epuka drive and stop hii inakula sana wese, accerate taratibu huku ukiipa gari to pick up the speed itself usilazimishe,AC ni safi ila wese nalo litapotea ,kwa hiyo unapopack ,weka kwenye kivuli, na kila wakati ruhusu hewa mpya kuingia kwenye gari!,travel safely, binafsi yangu ya kufungia mwaka haipo mbali InshaAllah, tupia vipicha mkuu
Ushauri Murua kabisa Mkuu, Nashukuru Sana
 
Back
Top Bottom