Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Risks kubwa mno!,just imagine unashuka Inyala Pass bila break
Mkuu gari nyingi kubwa zinashuka Old Vwawa,Senjere ya 1&2,Inyala zikiwa na tatizo za breki. Dereva akivuka border na gari inatatizo hawezi vumilia kukaa zaidi ataenda kufanya brake adjustment mitaa ya Mpemba, Chapwa au Forest Magorofani.

Maroli mengi brake adjustment inafanyika akiwa kapaki na hakuna test za ziada kucheki kama zinakamata vizuri. Dereva mwingine anakuwa anajihamini akikimbia hovyo ndio yanapelekea ajali, kuna kipindi nilikuwa njia hiyo na hizo point nilishuhudia visa hivyo
 
Hapana kaka..Sema nilimwaga hydrolic toka Mwezi wa 12 Mwaka jana, na nishatembea kama Km 3000, hivi hii oil huwa ni ya kumwaga kila baada ya hizi KM chache kama engine oil? Maana kidogo hyo kitu n sensitive ukimess up unaua gearbox...Bad enough ki card cha Oil wale mafundi hawakukiweka
hio sio ya kuchezEA chezea kama wabongo wengi wanavyofikiri. Iache ikae itulie humo
 
Wakuu kwa lawama za ulaji mwingi wa mafuta zinaenda kwa Toyota crown tu wakati unaweza kuta engine capacity inalingana na magari kama Alphard,mark x,Murano, Subaru legacy V4 au Mitsubishi outlander?
service haiko vizuri ulaji lazma uwe mbovu, badili plugs,cleaners, weka wese safi uone kama ulaji utakuwa mbovu! watu crown wanaishi nazo freshi tu na zinawapa 9.7km/l wewe ulalamike why?
 
baada ya ku drive kwa masaa kadhaa kutoka dar, mimi na jamaa yangu tulipofika mlima kitonga, kabla hatujaanza kuupanda, tukapaki pembeni halafu tukatoa simu zetu kupiga picha. tulipotosheka tukaendelea na safari kuitafuta mbeya.

hii ilikuwa ni december 2018. gari tuliyotumia ni
toyota landcruser 200 series, vx edition.
IMG_20221211_151542.jpg
 
baada ya ku drive kwa masaa kadhaa kutoka dar, mimi na jamaa yangu tulipofika mlima kitonga, kabla hatujaanza kuupanda, tukapaki pembeni halafu tukatoa simu zetu kupiga picha. tulipotosheka tukaendelea na safari kuitafuta mbeya.

hii ilikuwa ni december 2018. gari tuliyotumia ni
toyota landcruser 200 series, vx edition.
View attachment 2443091
Yaani kitonga pass ina vutia mno, siku tukipata political will hii famous pass itapendeza sana,why hatuwezi kujenga tunnel pale?,na kwa sasa tuna uwezo wa kujenga Arrester na pia tuweke compulsory stop 🛑 kwa all heavy duty vehicles, hii itasaidia to slow down hizi trunks na breaks kupoozwa kidogo, hizi ajali pale zinatisha, but hazitishi kama T2, yaani hii barabara handaki la kwanza unakutana nalo baada ya kulipita geti la kutokea border!Africa sometimes inashangaza sana!
 
Yaani kitonga pass ina vutia mno, siku tukipata political will hii famous pass itapendeza sana,why hatuwezi kujenga tunnel pale?,na kwa sasa tuna uwezo wa kujenga Arrester na pia tuweke compulsory stop [emoji1630] kwa all heavy duty vehicles, hii itasaidia to slow down hizi trunks na breaks kupoozwa kidogo, hizi ajali pale zinatisha, but hazitishi kama T2, yaani hii barabara handaki la kwanza unakutana nalo baada ya kulipita geti la kutokea border!Africa sometimes inashangaza sana!
umeandika jambo zuri sana ila sidhani kama wahusika wataliingiza kwenye vipaombele vyao.

mimi nalia na mamlaka zenye dhamana na masuala ya utalii. ekolojia ya maeneo yenye miiniko kama mlima kitonga ni very potential kwa utalii. huu mlima ukiachia ile sifa yake mbaya ya ajari za gari, ni kivutio kizuri sana.

ilitakiwa pawepo na hotel nzuri ya kitalii eneo lile la mlima. ingevutia sana wageni wanaopenda kufanya camping, hiking/trekking, adventure, nature photography nk.

sijui kwanini nchi yetu inasuasa kugeuza maeneo kama haya kuwa vivutio vya utalii.
 
Hili ni swala la common sense tu...kabla hujaambiwa ni kosa au siyo kosa.

Kwanza unakuwa kwenye risk kubwa ya kusikia warning yoyote ya hatari kutoka kwenye gari lako, hausikii kelele yoyote ya chombo ama hitilafu ya gari,

Unaweza ukawa unapewa ishara au kupigiwa honi na mtu husikiii..

Bado kuna hatari ya wewe kufocus na mziki na ukasababisha ajali.

Kuna wakati kuna gari za dharula linapiga kelele lipite wewe umekaa katikati husikii sababu ta mziki
Huko kwingine kooote fresh, uendeshapo unaconsult mirrors zako kila baada ya muda gani?? Mimi kila sekunde chache nacheki mirrors zote (side na driving) Ni muhimu sana wakati wote uendeshapo, iwe highway ama hata mjini. Kwa kucheki mirrors frequently ni rahisi kutambua uwepo wa watumiaji wengine barabara wenye dharura ama kustahili kupishwa
 
umeandika jambo zuri sana ila sidhani kama wahusika wataliingiza kwenye vipaombele vyao.

mimi nalia na mamlaka zenye dhamana na masuala ya utalii. ekolojia ya maeneo yenye miiniko kama mlima kitonga ni very potential kwa utalii. huu mlima ukiachia ile sifa yake mbaya ya ajari za gari, ni kivutio kizuri sana.

ilitakiwa pawepo na hotel nzuri ya kitalii eneo lile la mlima. ingevutia sana wageni wanaopenda kufanya camping, hiking/trekking, adventure, nature photography nk.

sijui kwanini nchi yetu inasuasa kugeuza maeneo kama haya kuwa vivutio vya utalii.
Tatizo la nchi yetu kila kitu kinahitaji political will na sio wataalamu waje na plans na ziwe implemented, kuna mzawa alijaribu pale Comforts Hotel ,pass inapoanzia ukitokea Ruaha, hoteli ikavuma na ikaja pasuka,ule mlima kuna potential nyingi mno za kiuchumi including kutoa ajira hasa kwenye hiyo sector ya utalii, kuanzia hiking, jumping, kayaking 🛶, tourist camps, wenzetu Zambia wanazo hizi camps nyingi tu,T1 nzima naona tuna hii camp moja tu,pale iyovi inapoanzia ukitokea mikumi, ni shame hasa nchi yetu hii
 
Botswana 🇧🇼 kutoka Nasa hadi kasane ni almost mbuga ya wanyama,wamejenga barabara safi na hakuna tuta hata moja, na ndani ya mbuga wamejenga sehemu za mapumziko (at your own risk, ni eneo la wild life animals)na videnge vidogo vinatua kwenye highway hii, sisi mikumi national park ni matuta mtindo mmoja,mabango ya vitisho, yaani ni ovyo ovyo tu na ni 50km,wakati Botswana it's more than 350km za mbuga ya wanyama
 
Kwa manual kuendesha bila brake unakuwa comfortable maana engine braking inatosha. Ila kuna miamba wanaendesha automatic car yenye breki mzozo au bila breki
Hicho ni kiburi. Ukuona gari yako nzima imekamilika basi mshukuru mungu na jitahidi usi mfsnyie fujo mtu yoyote huko Barabarani za kumfanya asimame ghafla. Wengine tuna/Wana endesha gari za hovyo akilala ni kama kafa. Gari unakamata brake mpaka Una saga Meno na bado haiishiki. Brake Una pump mara Tatu ndo unaisikia ina Shika kidogo. Na ukizilazimisha Tu zinapata Moto zina jam hahaha. Mungu Tu.
 
Tatizo la nchi yetu kila kitu kinahitaji political will na sio wataalamu waje na plans na ziwe implemented, kuna mzawa alijaribu pale Comforts Hotel ,pass inapoanzia ukitokea Ruaha, hoteli ikavuma na ikaja pasuka,ule mlima kuna potential nyingi mno za kiuchumi including kutoa ajira hasa kwenye hiyo sector ya utalii, kuanzia hiking, jumping, kayaking [emoji1629], tourist camps, wenzetu Zambia wanazo hizi camps nyingi tu,T1 nzima naona tuna hii camp moja tu,pale iyovi inapoanzia ukitokea mikumi, ni shame hasa nchi yetu hii
usinikumbushe kuhusu comfort hotel. nakumbuka nikiwa bado chalii mdogo katikati ya miaka ya 90,mimi na bmkubwa tukitokea mbeya kuja dar, tulipanda bus lililofahamika kwa jina la matema beach(kama kumbukukumbu zangu zipo sahihi), baada ya kushuka mlima kitonga tulisamama comfort hotel kupata huduma ya chakula. mpaka leo ile kumbukumbu ya atmosphere ya ile hotel ninayo kichwani. sasa hivi limebaki jengo lenye muenokano wa gofu.

hapo kwenye political will upo sahihi asilimia 100. haya mambo ndio yanafanya mpaka leo nyerere analaumiwa na baadhi ya watz kwa kuwacheleweshea maendeleo, kisa tu hakuwa willing kuruhusu baadhi ya miradi iende kwenye maeneo yao kwa hofu za kisiasa na sababu alizozijua yeye.
 
usinikumbushe kuhusu comfort hotel. nakumbuka nikiwa bado chalii mdogo katikati ya miaka ya 90,mimi na bmkubwa tukitokea mbeya kuja dar, tulipanda bus lililofahamika kwa jina la matema beach(kama kumbukukumbu zangu zipo sawa), tulisamama pale comfort hotel kwa ajiri ya huduma ya chakula. mpaka leo ile kumbukumbu bado ninayo kichwani.

hapo kwenye political will upo sahihi asilimia 100. haya mambo ndio yanafanya mpaka leo nyerere analaumiwa na baadhi ya watz kwa kuwacheleweshea maendeleo, kisa tu hakuwa willing kuruhusu baadhi ya miradi ya maendeleo kwenye maeneo yao kwa hofu za kisiasa na sababu alizozijua yeye.
Exactly mkuu, hadi leo nchi hii haina miradi inayoletwa na wataalamu, miradi yote ipo kisiasa na ndio maana tuna fail big time, Zambia T2 yao yes ni mbovu mno ila wanaifanyia ujenzi upya sio kuitia viraka, T1 yetu imejaa viraka tu,life span ya T1 imeisha miaka mingi tu iliyopita,hii ni enzi za mwanzoni kabisa mwa awamu ya kwanza!,yes comfort Hotel ilivuma mno ila why ilipasuka ni debate for another day,na T1 hope's tutampata mwekezaji mzuri ajenge hizi pits stop nzuri yaani kuwe na kama small mall,with cafes, filling stations, shower/bath facilities, small area for kids to run around, hili linawezekana wenzetu wameweza haya
 
Back
Top Bottom