Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Mkuu gari nyingi kubwa zinashuka Old Vwawa,Senjere ya 1&2,Inyala zikiwa na tatizo za breki. Dereva akivuka border na gari inatatizo hawezi vumilia kukaa zaidi ataenda kufanya brake adjustment mitaa ya Mpemba, Chapwa au Forest Magorofani.Risks kubwa mno!,just imagine unashuka Inyala Pass bila break
Maroli mengi brake adjustment inafanyika akiwa kapaki na hakuna test za ziada kucheki kama zinakamata vizuri. Dereva mwingine anakuwa anajihamini akikimbia hovyo ndio yanapelekea ajali, kuna kipindi nilikuwa njia hiyo na hizo point nilishuhudia visa hivyo