Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Haya wazee wa road trip, baada ya kusoma sana humu nami nimehamasika nipige ka trip ka dar tanga dar arround 700km,
Haya tupeane uzoefu kwa kagari kenye injini ya 2SZ kanaweza kunywa lita ngapi kwa safari yote? (Nazungumzia budget)
Pili muda gani mzuri mwanawane wa kukiamsha early morning ama mida ya wanga ndio poa?
Tatu nipeni mi mgeni njia hii ya kaskazini as mi mmakonde dar ntwara ndio sana tu so nipeni hints za kuzingatia ili niwe na safari poa na amaizing.😀😀
Nimeshaandaa bamuziki ba kongo playlist ya kutosha tu kunisindikiza na safari.
Ni hayo tu wazee.
 
Kama mzoefu wa kutembea Mida ya wanga nakushauri fanya hivyo la kama sio mzoefu tembea mchana, kumbuka nyakati zote zina faida na hasara.

2SZ bila shaka hii itakua vits, wataalam wanaweza kunikosoa! Fuel capacity ya vits itakuwa lita 42 kama sijakosea! Ipige full tank na kwa bei ya dar petrol itakua chini kiasi around 180K unaweza baki na chenji. Huko unakoenda sijui bei ya mwarabu.

Umakini wa kutosha na pia kurahisisha mambo pitia Bagamoyo, ile ya Chalinze naona mbali so pita short cut vinginevyo nikutakie kila la kheri boss na usisahau mapicha picha ya uzuri wa nchi yetu Mungu akutangulie mkuu
 
another roadtrip video from my archive.

hello wazee wa roadtrip, 2022 ndio inaishia kama hivi, mwaka huu umepiga trip ngapi ndani au nje ya nchi?.

mwaka 2018 nilibahatika kusafiri maeneo mbalimbali nchini kikazi. moja ya mkoa ambao nilipiga back to back trip ni mbeya.

ktk kipande cha video ni wakati tunapanda mlima kitonga. ilikuwa ni mwezi december siku mbili tu baada ya kusherehekea xmas. natural vegetation ilikuwa imekubali balaa kiasi cha kupendezesha eneo lote la mlima kitonga.

gari niliyotumia ktk trip hii ni ileile toyota hiace wagon grand cabin niliyotumia ktk trip ya singida-arusha, mali ya taasisi fulani.
enjoy.

Attachments

  • FB_IMG_1670413824763.jpg
    FB_IMG_1670413824763.jpg
    33.6 KB · Views: 13
Haya wazee wa road trip, baada ya kusoma sana humu nami nimehamasika nipige ka trip ka dar tanga dar arround 700km,
Haya tupeane uzoefu kwa kagari kenye injini ya 2SZ kanaweza kunywa lita ngapi kwa safari yote? (Nazungumzia budget)
Pili muda gani mzuri mwanawane wa kukiamsha early morning ama mida ya wanga ndio poa?
Tatu nipeni mi mgeni njia hii ya kaskazini as mi mmakonde dar ntwara ndio sana tu so nipeni hints za kuzingatia ili niwe na safari poa na amaizing.😀😀
Nimeshaandaa bamuziki ba kongo playlist ya kutosha tu kunisindikiza na safari.
Ni hayo tu wazee.
Ondoka saa 11 asubuhi by saa tatu au nne asubuhi uko Tanga. Weka full tank tu itakufikisha na utaongeza kidogo sana kurudi Dar. Barabara hii haina kero za malori au buses kama ile ya dar-moro-dodoma. Tumia njia ya Dar-Bagamoyo-Msata-Segera-Tanga.
 
another roadtrip video from my archive.

hello wazee wa roadtrip, 2022 ndio inaishia kama hivi, mwaka huu umepiga trip ngapi ndani au nje ya nchi?.

mwaka 2018 nilibahatika kusafiri maeneo mbalimbali nchini kikazi. moja ya mkoa ambao nilipiga back to back trip ni mbeya.

ktk kipande cha video ni wakati tunapanda mlima kitonga. ilikuwa ni mwezi december siku mbili tu baada ya kusherehekea xmas. natural vegetation ilikuwa imekubali balaa kiasi cha kupendezesha eneo lote la mlima kitonga.

gari niliyotumia ktk trip hii ni ileile toyota hiace wagon grand cabin niliyotumia ktk trip ya singida-arusha, mali ya taasisi fulani.
enjoy.

View attachment 2438596
December hii nafikiria nitoke nje ya Tz, nchi jirani East Africa hii.
 
kwa mimi this december kama mipango yangu itaenda sawa, nitarudi tena zanzibar, kisiwa cha marashi ya karafuu.

niliwahi kufanya hivi mwaka 2021.ilikuwa ni mwezi januari, siku kadhaa baada ya kuuaga mwaka 2020.

View attachment 2438701View attachment 2438702
Hii michoro inafanana sana na niliyoichora Christmass last year, Nilichojifunza ni kifamilia zaidi sio kuenjoi mimi personaly, Mfano Zanzibar beach resort pa kawaida sana kama beach zetu hizi za kigamboni, nilivosogea verde nikaona pakitoto zaidi yani ile michezo ya beach na the likes.
Advise ni bora uende pande za nungwi kidogo kuna beach poa na utapata kusuuza macho.
Pia usibook room maeneo yote ya stone town mana utapigwa accomodation ya kitalii wakati service mbovu,
Nililipa pale 120k per night huku nikilala vitanda vya hostel vile vya godoro la futi mbili na nusu. Better you go nje ya mji ndio u book room,
Otherwise pako poa sana ile kukatiza mitaa ya stone town kwa google map mana nilikua nashindwa kukariri vile vichochoro was nice experience.
Kila la kheri mdau
 
hongera sana ndg.
michoro uliichora wewe mwenyewe manually?. unaweza kutuwekea hapa screenshot ya hiyo michoro uliyochora?.

ukawaida wa zanzibar beach resort ni upi?. service?, accommodation?, meals?, surroundings?. mimi nanachojua ile hotel haina eneo kubwa la ufukwe, inakuaje unapafananisha na beach za kigamboni ambazo baadhi ni public owned?.tufafanulie plz.

nimefika hotel verde mara moja mwaka 2020, sikulala ila nili spend masaa kadhaa nikiogelea kwenye lile pool lao zuri. kwa mda mchache niliyoshinda pale, sikupata wasaa wa kutosha kubaini utoto wake.

vipi mwenzetu, ulilala verde?, siku ngapi?, utoto wake ni upi? tufafanulie plz.

kuhusu ubora duni wa sehemu za malazi maeneo ya stone town, hilo sina swali lolote. niseme tu upo sahihi.

ila walikuokota sana hapo kwenye kulipa 120K halafu ukalazwa chumba kama cha hostel chenye godoro la futi mbili. itakuwa ulienda zanzibar kwa approach ya kibosi sana kama mtalii kutoka nje ya nchi.[emoji1787][emoji1787]
Screenshot_2022-12-07-17-08-09-725_com.google.android.apps.maps.jpg
IMG_20221207_171612.jpg
IMG_20221207_171634.jpg
 
Kama mzoefu wa kutembea Mida ya wanga nakushauri fanya hivyo la kama sio mzoefu tembea mchana, kumbuka nyakati zote zina faida na hasara.

2SZ bila shaka hii itakua vits, wataalam wanaweza kunikosoa! Fuel capacity ya vits itakuwa lita 42 kama sijakosea! Ipige full tank na kwa bei ya dar petrol itakua chini kiasi around 180K unaweza baki na chenji. Huko unakoenda sijui bei ya mwarabu.

Umakini wa kutosha na pia kurahisisha mambo pitia Bagamoyo, ile ya Chalinze naona mbali so pita short cut vinginevyo nikutakie kila la kheri boss na usisahau mapicha picha ya uzuri wa nchi yetu Mungu akutangulie mkuu
Ushauri mzuri mkuu umeutoa halafu Tanga to Dar back to Tanga ni trip fupi mno,ni kama starter kwenye 3 me,al course, tembea mchana mkuu wangu, usiku lazima upate uzoefu na uzoefu huu utaupata kwa kusafiri na mtu mzoefu ,wale wakongwe wa Road Trip tuonane hapa soon kwa long trip ya kufungia mwaka
 
Karibu huku kwa PRESIDENT H&H mkuu, ule mkeka wa T2, wachina wanauramba vema ,hasa kutoka Nakonde hadi Chinsali, na ndio sehemu korofi mno, check points zimepoa sana na zipo chache mno
Duh huko kuimaliza Tunduma tu shughuli,ipo siku. Nina mpango wa Dar-Jburg siku nikinunua brand new car.
 
Me mpango wa kwenda nchi jirani,

Mipango ikikaa sawa naondoka tar 14 dec .
binafsi natamani sana siku moja nitembelee mji wa kigali.

jamaa yangu mmoja mwaka jana baada ya kufunga ndoa, yeye na mkewe fungate yao wakaenda kuilia kigali.

akawa ananitumia picha za maeneo mbalimbali mazuri ya kigali, alinivuruga sana nikajikuta natamani kufika.
 
Karibu huku kwa PRESIDENT H&H mkuu, ule mkeka wa T2, wachina wanauramba vema ,hasa kutoka Nakonde hadi Chinsali, na ndio sehemu korofi mno, check points zimepoa sana na zipo chache mno
Nakonde - Mbala

ovyo haijakamilika

Mbala - Isoka

km 40 za ovyo mashimo vumbi/tope

Isoka - Chinsali

km 160 tarmac iliyotulia

Chinsali via matumbo shiwang'andu Mpika

tarmac ya zamani atleast na shimo za hapa na pale

Mpika via lavushimanda mununga Serenje

Hii ndio balaa mahandaki/ mashimo ingawa sehemu chache Ina afadhali lakini nyembamba sana

Serenje via mukushi Kapiri mposhi

Hii ndio T2 haswaa

Onyo

Kama hujawahi kupita hii barabara uwe makini muda wowote utabadilishwa jina[emoji1787]
 
Back
Top Bottom