Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aisee..tuwe makini barabarani hakuna madereva kwa kweli. Kuna mtu anasema anatoka Dar-Mwz (Km 1200) halafu anasema hajui oil zinabadilishwa lini. [emoji28][emoji28] CHIBA One
 
"Aliitoa clutch na brake" ukisikia maneno ya kijiweni ndio haya. HAIWEZEKANI KUENDESHEKA..
NASEMA HAIWEZEKANIIIIIII.
Mkuu kwenye hii fani ya Udereva nimegundua ukiacha aina za madereva kielimu kuna madereva wa aina hii pia

1. Madereva wa magari halisi hawa wanao ujuwa wajibu wao wakiwa na gari
2. Madereva wakokotaji wa magari yani yeye halewi kitu kuhusu gari isipokuwa kulitoa sehemu moja kulipeleka sehemu nyingine
3. Madereva wapuuziaji wa usalama wa magari yao, wao binafsi, abiria na mizigo.
Wao mara nyingi hujipa matumaini kua kila kibaya kikitokea ni bahati mbaya hivyo hawana tahadhari yoyote kwenye maisha ya udereva wao.
4. Na madereva wa midomo. Wao gari wanalijua kutokana na hadithi za mwenzie au kuona alivyo fanya mwenzie pasi na uzoefu wowote wa hilo katika madhara na wala kwa faida ya hilo jambo.


Nakumbuka kuna kiumbe siku kiliniambia eti kinanishauri ninapo kua nateremka mlimani hasa mikali niwe natumia high gear kwa sababu itanisaidia sana kwenye engine break maana gari itakuwa nzito hivyo hutatumia break nyingi.

Nikamwambia Shule uliesomea udereva Hakuna alie faulu kuliko Wewe yani.

Sasa nikashangaa kaanza kupanic na kusema kwaio unaniona mimi muongo sio haya ukipata ajali usinitafute Dah nikaona hiki ni zaidi ya kimeo

Ndio huyo gari haina break wala clutch sijui kama anajua kazi ya hiyo clutch kwenye manual transmission cars.
 
Plan nikupita ya dodoma then iringa then njombe then songea nazama bamba bay... kurud ntapitia mbeya.. kama kuna njia nyingine unaweza share
Moshi mpaka makambako road sio mbaya kivile makambako tu songea ndio inatakiwa umakini na ilo tako la nyani na kona sio mchezo.kama unarudia mbeya kutoka kyela kuja uyole napo umakini pia na hizi mvua usije kuingia porini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…