December 22 ..
Road trip Moshi to lake nyasa bamba bay... Gari Harrier matako ya nyani .. mwenye kujua road ya moshi mpk lake nyasa anipe direction wadau...
Moshi mpaka makambako road sio mbaya kivile makambako tu songea ndio inatakiwa umakini na ilo tako la nyani na kona sio mchezo.kama unarudia mbeya kutoka kyela kuja uyole napo umakini pia na hizi mvua usije kuingia porini
Nimekuelewa chief... ntazingatia .. hiyo Road sijawah pita kbsaa.. hopefully hakuna magari makubwa mengi...Ile sio mbaya sana wakati wa kurudi kutoka kyela kuna kona chache kule kwenye mashamba ya majani ya chai maana kutoka kule asilimia kubwa unapanda kuja mbeya labda kidogo hii kushuka kuja uyole sema ukikutana na mvua kua mpole maana barabara yenyewe sehemu hua inateleza
Mkuu je nikipita Moshi the arusha then manyara then natoboa dodoma then iringa then makambako...????Kunaitwa Mbamba Bay...
Moshi - Segera - Chalinze - Morogoro - Makambako - Songea - Likonde - Mbinga - Mbamba Bay
Magari makubwa sio mengi. huko utapambana na coaster mbeya kyelaNimekuelewa chief... ntazingatia .. hiyo Road sijawah pita kbsaa.. hopefully hakuna magari makubwa mengi...
Ile barabara ya kyela-uyole-mbeya ndo siiifaham kbsaa .. unaweza nipa hits.. iliwakat wa kurud niwe na ABC nayo..
@kiduku mpapaso ananitisha kwamba tako la nyani sio gari ya safari... hii gari imetuliaaa....Hakuna barabara ya kutoka Mbeya kwenda Mbamba Bay kupitia Kyela...
Tako la nyani haina shida ni gari ya safari...
So nikitaka kurudia pitia mbeya nafanyeje..??Hiyo barabara haiendi Songea bali inaenda Kyela na baadaye border ya Malawi...
Huyu kasema wakati wa kwenda anapita songea wakati wa kurudi ndio anapita kyelaHiyo barabara haiendi Songea bali inaenda Kyela na baadaye border ya Malawi...
Amekutahadharisha kwenye kona hasa njia usioijua.@kiduku mpapaso ananitisha kwamba tako la nyani sio gari ya safari... hii gari imetuliaaa....
kiduku mpapaso jamaa anasema hakuna Road hiyo Watu8
Hii ndio rahisi zaidi utakuwa umepunguza km nyingi tu kuliko kuzungukia chalinze.Mkuu je nikipita Moshi the arusha then manyara then natoboa dodoma then iringa then makambako...????
Mkuu je nikipita Moshi the arusha then manyara then natoboa dodoma then iringa then makambako...????
Huyu kasema wakati wa kwenda anapita songea wakati wa kurudi ndio anapita kyela
Mkuu nimekuambia barabara ya njombe mpaka songea inakona tena mbaya wacha nikueleze tu ukweli ili ujue kama hujawahi kupiti hio barabara.pili kutokana gari unayoenda nao huko kama ni mtu wa mbio kuingia kwenye makorongo sio kitu ya kuuliza@kiduku mpapaso ananitisha kwamba tako la nyani sio gari ya safari... hii gari imetuliaaa....
kiduku mpapaso jamaa anasema hakuna Road hiyo Watu8
So nikiwa mbaba bay afu sitak kupitia makambako nipite road ipi..?? Wakat wa kurud..??Mkuu hakuna barabara inayounga Kyela na Songea pasipo kupita Makambako...
Kwani kuna sehemu nimwambia kwamba songea ataenda bila kupita makambako.na anaweza kupita lindi mnazi mmoja na akaenda songea bila kupita makambakoMkuu hakuna barabara inayounga Kyela na Songea pasipo kupita Makambako...
So nikiwa mbaba bay afu sitak kupitia makambako nipite road ipi..?? Wakat wa kurud..??
Lakini si anaweza kuvuka na meli kuja kyelaNadhani swali lako ulitaka kuuliza, ukiwa Mbamba Bay na unataka kurudi Moshi pasipo kupitia Makambako...
Njia mbadala ni ya kupita Lindi lakini hii utasafiri sana na usalama ni mdogo kwa sababu utapita pembezoni mwa Tanzania na Mozambique kipande fulani hapo Tunduru...
MbambaBay - Songea - Namtumbo - Tunduru - Masasi - Lindi - Dar - Chalinze - Segera - Moshi
Duhhh aisee hiii itakuwa ndefu sana.. labda Road Trip nyingine niipange kbsaa Trip hiii.. je barabara ni full lami..????Nadhani swali lako ulitaka kuuliza, ukiwa Mbamba Bay na unataka kurudi Moshi pasipo kupitia Makambako...
Njia mbadala ni ya kupita Lindi lakini hii utasafiri sana na usalama ni mdogo kwa sababu utapita pembezoni mwa Tanzania na Mozambique kipande fulani hapo Tunduru...
MbambaBay - Songea - Namtumbo - Tunduru - Masasi - Lindi - Dar - Chalinze - Segera - Moshi
Lakini si anaweza kuvuka na meli kuja kyela