Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Haina lawama hiyo, kila mtu anaendelea na safari yake
 
Nilivyofika Tanga nikarudishia full tank lengo nisiweke wese ndani ya Kenya. Huku ni Ksh 176.5 kama Tzs 3600 hivi. Baada ya misele sasa niko na half tank najua itanifikosha Tanga.
Hii mistake nilifanya wakati naenda Nai, nimeingia Boda na half tank, sikuweza kutoboa kurudi, ikanibidi siku naondoka niweke kama 30lts za kunifikisha Arusha.
 
Wakuu kwema? Ule muda wa road trips umefika tena, 'Bad Boy' nishamfanyia service wiki iliopita sasa hivi anahesabu siku tu kabla ya kwenda kuwacharaza wenzie barabarani. Huu mwaka umekuwa mgumu sana i cant wait to hop somewhere quiet for a vacation!
Naomba nikusindize[emoji7]

Za siku nyingi ndugu yangu
 
Jana usiku. From lushoto to dar. Bagamoy road. Nilikula mbuzi mkata nimefika home tumbo linauma mpaka muda huu. Sikukuu njema.
View attachment 2458814
Pole sana mkuu, ki ujumla mkoa wote wa Tanga (Kuanzia mkata mpaka mombo) usijaribu kuonja zile mbuzi choma, wengi wawo sio waaminifu, unaoneshwa nyama nzuri ila unayoletewa/kuandaliwa sio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…