Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah lengo ilikuwa ni kuchangamsha genge tu bro 😀😀😀 hakuna gari isiotembea non stop ikiwa cooling system iko freshiHujui usemalo sijui kwanini unakuwa kama mtu asie na ABC za magari. Watu wanatoka SA mpaka Tz na kurudi na hizo gari kila miezi michache. Dogo mmoja namjua ana Golf mk5 huwa anaenda na kurudi mwanza kila mwezi mara mbili au tatu.