Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Daah ulikuwa una umimina mwingi mkuu, hii december kwangu kwenye kupumzika nimefeli kabisa, ila kabla mwaka haujaisha lazima nimkung'ute vumbi mnyama kisafari chochote cha masaa manne au matano ninywe bia nilale nigeuze

Jana nilisogea mpaka kiromo kwenye mambo yangu daah mzuka wake si wa kitoto, hapo mwanzoni nikatamani nisogee mpaka makurunge niwasindikize tuu wasafiri maana niliwapelekea moto, na gari yangu sauti inayowaachia huko nje wanajua wenyewe
 
Hiyo teknolojia itakuja kuwageuka siku moja, mnaanika maisha yenu sana, sasa hiyo ina faida gani? Mzinga ukitokea mnaanza kuja na maswali meengi mara walijuaje usiku ule kama ni yeye, kumbe mlijianika wenyewe, hamjui mko tracked kila mahali, hiyo kitu siyo kabisa na futa kama unapenda privacy na kila binadamu anastahili privacy fulani!
Acha ku complicate maisha ya watu mzee, Live and let live. Jifungie chumbani kwako ukijilinda
 
Usiache kusalimia Hugo's Park hapo
20221225_085736.jpg


Niko milimani mkuu chuma inapoa huku baada ya kutembea kama 2700km kwa siku 4
 
Hahahah mzee non stop unaitembeza VQ25 halafu wanamsema mjapani, usijaribu hilo kwa BMW au Audi utalia na kusaga meno
Hujui usemalo sijui kwanini unakuwa kama mtu asie na ABC za magari. Watu wanatoka SA mpaka Tz na kurudi na hizo gari kila miezi michache. Dogo mmoja namjua ana Golf mk5 huwa anaenda na kurudi mwanza kila mwezi mara mbili au tatu.
 
Back
Top Bottom