ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Hawana upuuzi.Tanga-Mombasa road iko clear hamna traffic kabisa,I'm cruising at 120kph. Hakuna tochi wala nini kwenye 50kph u anajipimia tu. Upande wa Kenya ndio hawana hata vibao vya speed.
Unahitaji nini kuvuka border na gari kuiendesha Kenya?