Sahivi wanajua kuwasha na kudrive tu. Hata deep stick ni shida kuangalia. Tatizo sana udereva wa sahiviEeh gari naosha na kukagua kabla hajasepa nayo. Akiwa kaenda zake nje ya nchi kimasomo huwa nilikuwa nazipasha moto. Wakija mafundi home nakaa nao naona wanachofanya elimu ya bure kabisa.
Hahahah mtu hadi gari igome kwenda au kuwakaSahivi wanajua kuwasha na kudrive tu. Hata deep stick ni shida kuangalia. Tatizo sana udereva wa sahivi
Hata check engine inawaka mtu bado kakazana kutembelea, angalia kma huyuHahahah mtu hadi gari igome kwenda au kuwaka
Mbona hii ni hatari sana afu inaonekana ni route ndefu. Ni kwamba haoni au kachagua kupuuziaHata check engine inawaka mtu bado kakazana kutembelea, angalia kma huyu
Wanawake ndo wanaongoza kukaanga engine wao ni kuwasha na kuendesha tu ndo wanachojuaHahahah mtu hadi gari igome kwenda au kuwaka
Hahahahah huenda hajui yeye anakanyagia tu 😀Hata check engine inawaka mtu bado kakazana kutembelea, angalia kma huyu
Mfano mkuu nipe elimuAtakuwa anajua kwanini inawaka. Sababu nyingine hazina madhara.
Ok thanksWatu wenye BMW au VW wanaweza kuishi na hio taa miaka. Ndio maana ni ya njano sio nyekundu. Kama issue ni serious gari yenyewe inaingia kwenye LIMP MODE.
professional Driver
Mambo ya zamani hayo labda gari fulani zenye turbo charger.Wanaposema kusafiri na gari safari ndefu unapofika safari usilizime hapo hapo linabaki silence kwa mda kidogo, hii ilikuwa kwa magari ya zamani au hata ya sasa? Au dhana hiyo haipo kabisa?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Zambia imekutoa pangoni. Ni nini kinachokuficha?
Kipande cha Ilula Iringa to Mbeya batabara ni nzuri ile,imenyooka halaf haina mawimbi ukijishahau unaweza maliza Dashbodi halaf bado ukaona chombo km iko spidi 20 vile,sema tu barabara iko bize Semi kibao.Halafu hii ya kugonga nyuma sijui niaje aisee! Kuna dada mmoja alinigonga kwa nyuma, unajua kuna ile unaona kabisa ajali inakuja soon...
Ni KM chache sana kufika ilula ukitokea Iringa mjini (hilo eneo ni lile lenye upepo mwingi kwa wale wanaoijua hiyo njia) yule dada alikua na Suzuki Swifty sasa mbele yangu kulikuwa na Lorry limepata break down mie nimesimama kupisha gari za upande wa kulia zipite ili na mimi nipite.
Namuona kwenye rear view mirror anakuja tu napiga honi na hazard juu ila ndo kwanza kafunguka ghafla nikasikia kishindo!! Ikabidi nishuke namkuta anavuja damu mdomoni na puani anatetemeka hatari[emoji1787][emoji1787]. Samahani sana kaka huku anafuta damu, nikamwambia shuka nikusogezee gari pembeni kabisa ya barabara.
Aliposhuka nikamwambia kaa chini utulie nikaiweka ile gari nje kabisa ya chaki nikacheki gari yangu nyuma wala haikuumia na kubonyea zaidi ya minor scratches kwenye bampa, gari ya yule dada hood ilipinda na pia rejeta ilikuwa inavujisha. Dada alikua kafungulia mziki mkubwa nadhani ile ilimpotezea umakini.
Kaka samahani sana mi mtumishi (nurse) nimetoka manispaa nimehamishiwa ilula ndo naenda kuripoti, nikamwambia awe makini na asiendeshe gari na kobazi kama sio mzoefu ni hatari. Basi nikaondoka zangu huku nikimwambia ajaribu kwenda mdogo mdogo hadi ilula.
So mkuu hawa wanaogonga kwa nyuma ni ajali kama ila hii mara nyingi ni uzembe wa dereva.