Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kipande cha Dar to Moro(roughly 200km)ni sugu mno katika uendeshaji wake, yaani kutumia 4 to 5 hrs ni kitu cha kawaida, napendekeza all trunks zipangiwe muda maalum wa kuingia/kutoka Dar, kusiruhusiwe kupark gari pembezoni mno na hiki kipande, bajaji/bodaboda/pedestrians kuwe na utaratibu mzuri wa matumizi ya T1 hasa Dar to Moro;naona RTO wa Mbeya kaweka utaratibu wa all long distance buses kuwa escorted thr mlima nyoka pass ili madereva wasishindane!,Sauli iwe inawekwa mbele kabisa kwenye foleni!
 
Dar to Moro is a nightmare! Wazazi wangu waliendesha wiki iliyopita kwenda Iringa, iliwachukua masaa karibu sita kufika njia panda ya mzumbe. Waliamua kulala Mikumi pale Tanswiss na kuendelea na safari kesho yake ili wasiendeshe usiku. Wanasema kuna foleni sana kutoka Dar to Moro. Watujengee hiyo super highway tulipie bwana.
 
nipo Heka itigi Manyoni KM 70 KUTOKA lami na premio namba C 170K+ KMS niliyonunua kwa mtu na kesho nageuza Dar KM zaidi ya 600 nadhani gari ni Regular maintanance Mileage ni number tu kama unavyosema
nikisikia Heka huwa namkumbuka sana mwalimu Sosthenes Makaye,Mungu amlaze mahali pema peponi,Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…