Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sahihi kabisa. Kuna ligi na misafara.

Ligi fanya na unaowezana nao.

Misafara ndio unaweza ukawa na IST ukaenda na mwenye V8.

Ukipewa msafara ukaleta pigo za ligi ndio watu wanaamua kuku humble. Kila mtu na mbabe wake.
Kweli mkuu watu wanachanganya Msafara na ligi halafu kinachowakuta kinabaki siri yao[emoji28]
 
Chief unapanda mlima na 180 ni mlima au mwinuko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…