Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hizo Crown sio nyingi sana kati ya hizo gari tatu ulizotaja. Crown watu wengi wanagundua waliingia chaka kuyanunua kwa hiyo wanaishia kuyapark tu au kutoka nayo siku moja moja. IST na Harrier ni hatari hapa mjini.
Kwanini wanayapark? Labda huko ulipo. Nilipo mimi ukiondoq IST gari zilizozagaa sana ni Crown grs180.
 
Nashukuru nimebadilisha na chuma inaelekea mbeya.. Road trip ziendelee
IMG_20230122_095110.jpg
 
Back
Top Bottom