Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mmmmmm yam yam ,wakuu zile ndizi kutokea mkoa wa mbeya, ambazo zinaliwa zikiwa mbivu na rangi yake ilikua purple ,nitazipata wapi along T1?,shape yake ni nene kulinganisha na hizo kwenye picha hapo juu, itakayenipa location za kuzipata na nikazipata, nitamtumia shs za kununua data
Mkuu along T1 hyo umemaanisha nn? Nijipatie hyo data [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Coaster iko wapi? Hadi truck ichakae hivyo sijui hio Coaster ina hali gani.
Hiyo hapo ni zile hino za engine nyuma [emoji115]
IMG_20230123_093348.jpg
 
Mkuu along T1 hyo umemaanisha nn? Nijipatie hyo data [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Wapi ninaweza kununua hizi ndizi kuanzia Tunduma hadi Dar?,before zilikua nyingi sana pale kuanzia tunduma hadi mbeya hasa mlowo, vwawa, but zimepotea kabisa(T1 ni Jina la highway yetu kutoka Dar hadi Tunduma OSBP)
 
Inyala hapo kimeumana meru tanker na coaster super rojaView attachment 2492360
Hizi hizi tankers za Meru mbona tatizo?,last time moja nayo iliondoka na watu wanne nje kidogo ya Mkushi, eneo safi, tambarare,kisa fatigue kwa dereva, a naendesha huku amelala!,wazee wa road trip hasa usiku ukishaanza kuona mitaa yenye mataa porini please park and rest, mchana ukishaanza kujishika kisogo pls park and rest
 
Wapi ninaweza kununua hizi ndizi kuanzia Tunduma hadi Dar?,before zilikua nyingi sana pale kuanzia tunduma hadi mbeya hasa mlowo, vwawa, but zimepotea kabisa(T1 ni Jina la highway yetu kutoka Dar hadi Tunduma OSBP)
Mkuu hapo utapata pale uyole stand ya Usangu mkuu ata ukitembea tembea maeneo ya itewe stand utapata hapo

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom