Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Traffic wa Daslam siwezi kumkimbia aisee. Bora ale 10 langu tu kuliko kesi za ajabu.
Juzi kati nakatiza pale mbezi shule(bagamoyo road)kuna kale ka traffic kifupi chenye machejo kakanipiga mkono,kuweka gari pembeni akakuta kila kitu kipo sawa ikabidi azushe kuwa sikupunguza mwendo kwenye zebra,nikasikitika mpaka akajishtukia ikabidi ale la kumi kuepusha mambo yasiwe mengi
 
Back
Top Bottom