Mkorintho
JF-Expert Member
- Feb 17, 2009
- 594
- 1,141
Uzuri mingi imeunga ungana, jiografia matata ya nchi yetu. Ukienda Mtwara kwa barabara utokeapo Dar utaanzia Lindi kisha ndio Mtwara. Vivyo hivyo Songwe na Mbeya zimeshikana kabisa so ni rahisi kufika sehemu ya pili uwapo ktk mmojawapo. Kila la heri 'Kasie Matata'Okay hivyo Pemba ndo bado sijafika, ntamtafuta yakheee afanye wepesi [emoji28].
Yeah mikoa 10 parefuu, Mungu azidi kunipa uhai na uzima, najitunza vyema niimalize yote.
Kovido ikiisha narudi kupasua anga [emoji4].
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app